Hilo ni kweli ndo walivyomlea hvyo mshua ake anampenda sana na kiukweli wana uwezoHuyo binti ana wivu uliopitiliza na wivu ukizidi sana mara nyingi uleta hasara
la pili huyo binti malezi yake yanatia shaka pengine anadeka sana au anaona hata akikaa kwao bila mme anaridhika
sina ushauri, mapenzi ni ya wawili tu
Nashukuru kiongozi ntalifanyia kaziUnaleta demokrasia kwenye mahusiano? Utakufa vibaya wewe.
Dada mtu shem wako anakugombeza na wewe ulivyo zoba zobinyo unaikubali hiyo hali, sikutukani ila we ni fala sana na hao washajua udhaifu wako watakuendesha mpaka upate presha na kisukari na uachwe hapo.
Be a man mkuu achana na u nice guy utakuua, punguza kumjali na kumshirikisha kila jambo maana inaonekana hata ukitaka kwenda kupupu unamwambia na akikukatalia akanuna unahairisha matokeo yake utajinyea bure.
Unakera sana, badilika wewe kwanza ndio yeye nae atabadilika vinginevyo utagombezwa hadi na vitukuu vya huyo dada yake.
Kaza ukiendelea hivyo baada ya muda hali itazidi kuwa mbaya zaidi ya hapo, usiruhusu mambo yako ya familia kuamuliwa na watu wengine.Nashukuru kiongozi ntalifanyia kazi
Akapumzike KwaoAna ujauzito tayari
Yaan ushauri wako haujawah kuwa wa watu kupambania penzi lao,wew huwa nikushauri watu waachane tuMiaka minne 4....mnakaa pamoja...
Hamjaoana....
Nadhani sasa mmechokana pumzishaneni mkimkumbukana mtarudiana
NothingYaan ushauri wako haujawah kuwa wa watu kupambania penzi lao,wew huwa nikushauri watu waachane tu
Ulishawah kupatwa na nini kwenye mapenz haya