Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

Afrika na Tanzania kuna shida sana watu vichwani.

Miaka miine( 4yrs) kwenye mahusiano bado mnakimbizana kwa wazazi kusuluhisha?

You two none can value time. Mnasibiri miaka ikatike mje kutuletea nyimbo za Kataa Ndoa na wengine single maza?
Umeona
 
Hivi bado mnakaa kwa mahusiano miaka🤔 mi nikisha ichapa Mara mbili tatu naipotezea nasaka ingine

P***sy are all over the world

Hakuna sehemu unaenda utakosa something called p***sy
 
Unaleta demokrasia kwenye mahusiano? Utakufa vibaya wewe.

Dada mtu shem wako anakugombeza na wewe ulivyo zoba zobinyo unaikubali hiyo hali, sikutukani ila we ni fala sana na hao washajua udhaifu wako watakuendesha mpaka upate presha na kisukari na uachwe hapo.

Be a man mkuu achana na u nice guy utakuua, punguza kumjali na kumshirikisha kila jambo maana inaonekana hata ukitaka kwenda kupupu unamwambia na akikukatalia akanuna unahairisha matokeo yake utajinyea bure.

Unakera sana, badilika wewe kwanza ndio yeye nae atabadilika vinginevyo utagombezwa hadi na vitukuu vya huyo dada yake.
nakazia hapa!!👿
 
Back
Top Bottom