mapenzi yalivyo mkiachana lazima mmoja kuwa mshindi tu!

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
nikiwa na kula zangu balimi usiku.nikaona niingie insta kuangalia maisha na fake life za watu na wasanii.

naona picha ya vanessa na rotimi kama wakiwa wamepiga picha ya pamoja kiufupi vanessa mama kijacho.

IMG_0434.jpg

baada ya kuangalia page hii naona ndugu yetu jux kama yupo kwenye msongo wa mawazo japo ni mtu wa kuchukua pisi kali sana.

yani hapa jux kachanganyikiwa mpaka kutunga wimbo
IMG_0436.jpg

kiufupi tu!

katika mapenzi kuna siku pale mnapo temana tambua kuna mmoja anaweza kuwa mshindi wa mapenzi na ukajikuta wewe ndio umeshindwa.

hivi huyu jux hali yake ipoje na vanessa anajisikiaje kumuona ex wake sasa yupo vipi!
 
Ila kutoana majeraha yasiyofutika ni muhimu, hakuna kusahauliana hata kama umenishinda lazima nikuachie kovu lisilopona moyoni 😑😑😑😑
 
Jux hajaumia,ila katumia fursa kupiga hela,nyimbo yake watu kibao wameiview youtube na site zingne kama sio kupiga hela ni nini?
 
nikiwa na kula zangu balimi usiku.nikaona niingie insta kuangalia maisha na fake life za watu na wasanii.

naona picha ya vanessa na rotimi kama wakiwa wamepiga picha ya pamoja kiufupi vanessa mama kijacho.

View attachment 1931768

baada ya kuangalia page hii naona ndugu yetu jux kama yupo kwenye msongo wa mawazo japo ni mtu wa kuchukua pisi kali sana.

yani hapa jux kachanganyikiwa mpaka kutunga wimbo
View attachment 1931771

kiufupi tu!

katika mapenzi kuna siku pale mnapo temana tambua kuna mmoja anaweza kuwa mshindi wa mapenzi na ukajikuta wewe ndio umeshindwa.

hivi huyu jux hali yake ipoje na vanessa anajisikiaje kumuona ex wake sasa yupo vipi!
sasa wee unazani kama mwanaume hakuwa na malengo na wewe au malengo yake na tamaa zake kwa mwanamke anayemtaka wa kumla kwa muda mfupi yakishatimia, hata upigwe mimba huko unazani ataumia?

Badala yake ndo atafurahi kwa kupata sababu ya kukutema kabisa.

Kwanza Jux mtoto wa mjini yule, na pesa anayo na anatafuna warembo wazuri zaidi ya huyo vanessa.

Akitaka kubadilisha warembo kama nguo ana huo uwezo. Bado kijana anakula maisha.

Kwani Mondi yeye ameachana na wangapi? na bado anawatafuna tuu, kwani shida ikowapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom