Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.
Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.
Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.
upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.
Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.
Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.
Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
Ukisikia Wana Dar es salaam basi ndio siye, ratiba inaanzia kwenye supu asubuhi, unavuwa viatu unampa shoeshine anaking'arisha saa nzima unapata magazeti ya leo leo, maana soft copy zinaumiza macho baadaye lunch ndio sasa simu za kazi zinaanza, na muda wa kutengeneza pesa hauzidi masaa mawili.Angalia na wewe usije ukala savings.
Ndio mana akabase upande wa jinsia yake, Nshakusoma Matola. Eti tumeenda mpaka Ushauri wa uzaz wa mpango,akaelekezwa jinc ya kujikinga lakini mwenzangu akabeba mimba, sio kutegesheana huku?
Hapana sio dhaifu, Nyie wadada mnachangia kuvuruga maisha yetu kwa kiasi fulani nasikia hua mnashauriana eti ili ku force marriage lazima upate ujauzito na bf wako hapo atakua haruki na vitu kama hivo.We mkaka kwakweli hujajipanga. Kongosho kamaliza kila kitu. Haiwezekani unafanya one major mistake after another. Ebu jipange hata ukianza upya uwe makini kwani sidhani matatizo yako yataishia hapa kwa trend yako...Wewe ni dhaifu kiasi gani? Hapana kwakweli
jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.
Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.
Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.
upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.
Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.
Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.
Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe!
kwanza badilisha hilo jina lako halafu rudi hapa nikupe njia ya kutokea
nitamrudishia baadhi lakini abadili jina kwanza. Matatizo jina gani boss kama siyo kujipalilia mikosiUnataka kutoa vilivyotoka??????