jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.
Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.
Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.
upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.
Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.
Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.
Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
Sawa Kaka Kongosho.jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.
Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.
Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.
upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.
Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.
Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.
Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
Sawa Kaka Kongosho.
Mbona unatukata stimu Dogo, kaka yuko wapi hapo? huyo ni Dada yako na mimi ndio nataka kujipendekeza hapo nitangaze nia maana huu upweke sasa basi.Sawa Kaka Kongosho.
Mbona unatukata stimu Dogo, kaka yuko wapi hapo? huyo ni Dada yako na mimi ndio nataka kujipendekeza hapo nitangaze nia maana huu upweke sasa basi.
Ndio mana akabase upande wa jinsia yake, Nshakusoma Matola. Eti tumeenda mpaka Ushauri wa uzaz wa mpango,akaelekezwa jinc ya kujikinga lakini mwenzangu akabeba mimba, sio kutegesheana huku?Mbona unatukata stimu Dogo, kaka yuko wapi hapo? huyo ni Dada yako na mimi ndio nataka kujipendekeza hapo nitangaze nia maana huu upweke sasa basi.
Wewe usisingizie mapenzi Elimu yako ulioipata ndio ya kuilaumu iweje ishindwe kukusaidia pale kuacha kazi kabla hujaiona?:flypig:
Angalia na wewe usije ukala savings.
Kumbuka ni ndugu yangu alonitapeli nilimwamini asilimia 100, afu mkataba wa kaz unaniambia nitoe notice ya mwez mmoja kabla ya kuacha.Wewe usisingizie mapenzi Elimu yako ulioipata ndio ya kuilaumu iweje ishindwe kukusaidia pale kuacha kazi kabla hujaiona?:flypig: