Naona unatumia vyema elimu yako ya QT safi sana...what you say may be its true. but I have already opened the doors to another relationship. Although I still need time to get to know each other better

Kabisa....thats why sijawah kujutaNaona unatumia vyema elimu yako ya QT safi sana...
Umefika level ya chuo kipi ?what you say may be its true. but I have already opened the doors to another relationship. Although I still need time to get to know each other better

Aisee!!!!, Nimejifunza kitu, kumbe unaweza kupitia tatizo fulani ili kupitia Shida hiyo uweze kuvuka na kufika mbali kimaisha.Mwaka 2007 nilikutana na kijana mtanashati sana. Kweli nilimpenda sana sina uhakika kama na yeye alinipenda pia. Nilitoa muda wangu mwingi kwake. Lakini siku moja tu alikata kabisa mawasiliano na mimi. Kweli nililia sana nilichanganyikiwa sana. Nikafanikiwa kwenda nyumbani kwake maeneo ya Tabata aroma. Nikamuomba aniambie kwanini hapokei simu yangu.
Akaniambia kuwa mimi sijasoma na yeye alikuwa anataka kuoa msomi. Kiukweli nilijiunga na Qt nikasoma kwa bidii mpaka nikafanikiwa kufika kidato cha nne na hatimae kidato cha sita mwisho chuo. Namshukuru sana X wangu kwa kuniumiza maana yale maumivu ndio yamenifikisha hapa nilipo sasa.
HujamPM kweli?
Hongera sana kwa kuiondoa ile dharau.sema utakaye mpata sasa atasema hataki mke asiye na kazi.so tafuta na hela zako kabisaMwaka 2007 nilikutana na kijana mtanashati sana. Kweli nilimpenda sana sina uhakika kama na yeye alinipenda pia. Nilitoa muda wangu mwingi kwake. Lakini siku moja tu alikata kabisa mawasiliano na mimi. Kweli nililia sana nilichanganyikiwa sana. Nikafanikiwa kwenda nyumbani kwake maeneo ya Tabata aroma. Nikamuomba aniambie kwanini hapokei simu yangu.
Akaniambia kuwa mimi sijasoma na yeye alikuwa anataka kuoa msomi. Kiukweli nilijiunga na Qt nikasoma kwa bidii mpaka nikafanikiwa kufika kidato cha nne na hatimae kidato cha sita mwisho chuo. Namshukuru sana X wangu kwa kuniumiza maana yale maumivu ndio yamenifikisha hapa nilipo sasa.
Umetoa sadaka tu mzee kama unampenda. Hivyo akikuliza basi unasahau ada yako kama tunavyosahau sadaka na mafungu la 10 kwa mchungaji. Unajiongezea thawabu kwa Mungu.Kuhusu kumsomesha hakuna kitu kama hicho wewe,mabaharia tulishakubaliana kuwa mchumba HASOMESHWI.wengi wamelizwa.