Mapenzi ya Simu? yaani sms,kukupigia simu, inawezekana kwa sasa yupo busy.! hebu ongea nae ili ujue kwa sasa ratiba yake ipo vipi? sometimes anaweza kuwa yupo katika kibarua ambacho hapati muda wa kujibu SMS,ku-text,kukupigia simu.
litakuwa ni pigo kubwa sana cz i still love her
Pole sana Mkuu. Maisha ndivyo yalivyo.
Lol...Bubu bana.:becky:
Ndio ukweli wenyewe NN si unaona hapa MMU malalamiko ya wadada na wakaka kila kukicha katika idara hii nyeti ya mapenzi...huyu katendwa hivi na yule katendwa vile ali mradi tu purukushani za kila aina katika hii idara ya mapenzi.