The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,013
Mboga moja inachosha eti hata hamu ya kula inaisha
Mie hata asiponisalimia poa tuu kwani kwani salamu yake ni nini kwangu?Mambo ya ivyo ukitaka usisalimiwe mkumbushe. mtu anae fanya hivyo mara nyingi hushtuka likishamkuta tu
Halafu wa hivi nyumbani akiambiwa kaa hivi utasikia kunauma nje mikao yote anamaliza dahAlisema eti ananifanya kweli kweli,,,yaa kuna watu wakikamata kiuno wwamekikamata haswa
Kwema tu naendelea na vitu vyangu apa mana upande wa pili ni stress tuHaha...
Vipi jamaa kwema?
Unafaa sana uwe jirani wewe mana utanyoosha walio pinda ha ha haaaMie hata asiponisalimia poa tuu kwani kwani salamu yake ni nini kwangu?
Ila ukweli ntakuwa nimemwambia
Haha usiwe mwoga acha moyo ueleeKwema tu naendelea na vitu vyangu apa mana upande wa pili ni stress tu
Ujasili ushaniisha ngoja nione tuuu kwa machoHaha usiwe mwoga acha moyo uelee
Mzigo wako mpelekee shetaniPunguza ukali basi
Nipigie tuongee nina mzigo wako
HeehheeAsa umefungua id ya nini na hutaki habali wewe?
Inaletwa kwa wingiWeweee huko mnaipata wapi hapa nilipo ninaendelea tu mpaka midnighte
HayaNakukumbusha usibisha na aina hii utakula ban isio kuhusu
Akiwa nje sasa hadi tigo anatoaHalafu wa hivi nyumbani akiambiwa kaa hivi utasikia kunauma nje mikao yote anamaliza dah
Huku wanaikazia balaa kwa shida sana twaipataInaletwa kwa wingi
Ni shida yani siku umeipania ukaipindue pindue unakuta ndo kwanzaaa kavimba sura ham yote inaishaAkiwa nje sasa hadi tigo anatoa
Acha hizo huo utam upo tuu hem jiongezee uone atakavyo kufanyaTam sanaaa mi mwenyewe nataka nianze kuiba tuuuu![]()