Mapenzi ya wizi

Mapenzi ya wizi

Alisema eti ananifanya kweli kweli ,,,yaa kuna watu wakikamata kiuno wwamekikamata haswa
kuna mmama alikua tupo nae class..huyo alikuag mwalimu o level kaja kuchukua degree..si kakutana na mwanafunxi wake wa enzi hizo..dogo akawa anamgundisha na kumdaidia assignment...ikafika mahali maza anaenda magetoni kupigwa pindi mara dogo kwa utan kamwambia leo usiku sana lala...basi from there dogo kapewa uchi three years na maisha hakua anategemea boom tena
 
Samahan mtoa maada...anaenda kadanganya. Anaenda kufanya sup chuo gan
 
Sasa naona vitu vingi sana vya ajabu,mtu uko naye si umuambie tu!Wabongo kwa umbeya!
We mbeya namba one hapa umeitwa au kiranga chako,au ndio imekugusaa
Ndege wafananao huruka pamoja,kama ni rafiki yako na wewe hizo ni tabia zako.
Wote nawe tabia zetu zile zile jiandae twende basi leo zamu yako
leo zamu ya shangazi yako!
Sawa na mama yako pia
Mama ameshafariki itakuwa ni mamaako akitoka shangazi yako!
Hapa leo... Daby nletee popcorn tafazali...

CC Mwenyekiti Kaizer
 
Hapa leo... Daby nletee popcorn tafazali...

CC Mwenyekiti Kaizer
Swahiba naona JF leo kila uzi watu wanavutana. Huyo kedekede kashaaga.

Watu tunakamatia fursa tuonje vya wizi yeye anazingua.
ab6a55cc525ba708c6e90d29430f98b1.gif
 
Inakuwaga hivi mume anasoma kitabu kiheshima akijua huyu ni wife wakati J si ajabu anapata cha Arusha kwanza kabla ya kufungua kitabu na dada anachanganyikiwa. Aangalie anaweza kusup ndoa.
Mkuu ntakutafuta unifundishe kumbe cha Arusha kina husu eeh?
 
Back
Top Bottom