Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Nadhani mapenzi ya wizi ni matamu sana,kuna dada kamdanganya mmewe kua ana sup wakati hana yupo kwa mchepuko,kanogewa vibaya na nilimuuliza unafata nin akasema namfata J ananifanya kweli kweli,basi mmewe keshapiga simu balaa anadanganywa tu ,,ila kama mtu hauko tayari kuingia kwenye ndoa acha tu
Tulieni kwenye ndoa zenu waelekezeni waume zenu wawafanye mnavyotaka,,na kama mtu humtaki mwambie tu
Tulieni kwenye ndoa zenu waelekezeni waume zenu wawafanye mnavyotaka,,na kama mtu humtaki mwambie tu