mapenzi ya wazungu ....mjini dsm

kwa staili hii, hata mkiwezeshwa kwa asilimia 1000 bado mwanaume atakuwa kichwa tu. hivi nani alianzisha huu utaratibu wa mwanamke kutumia vitu/mali za mwanaume ili kunogesha mahusiano? sio unyonyaji huu na kuwapumbaza wanawake? shtukeni, sio lazima kupewa na mwenzi wako, hata wewe chakalika umpe, ukifanya hivyo mtaishi maisha marefu
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipenda
 
Siku nyingine mkikaa kikao waambie waache kutegemea mwili bali akili zao hahaha..
Nimecheka mmoja alikuwa analalamika wazungu walikuwa zamani siku hizi wanatupa elfu tano
yaani kuna watu wameinvest kwenye miili yao tena wengine wake za watu my dear .utashangaa sana dunia hii....
 
Duh kwa style hii - vijana wana haki ya kuto kuoa.
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipenda
 
Duh kwa style hii - vijana wana haki ya kuto kuoa.
acha ubahili maisha ni kujaliana..suppose wewe ni mpenzi wangu nina shida nimefulia naitaji elfu 20 ya kusuka hadi nikakope kwa mashosti? hata wewe ukitaka nakupa bana kama ushirikiano 0 mimi siwezi ...mapenzi ya kitandani tu mie siwezi..mapenzi yanatakiwa yacover kila mahali
 
raha ya mwanaume ni kutoa bana mimi ndivo nilivoumbwa ...napenda mtu anaenipa vijihela vya saluni vishopping vidogodogo nk ...hata kama ninayo anipe tu ...ndo naamini ananipenda

Ohhhh kumbe na wewe SMILE ni yale yale !!!
 
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...
Unjua ss wanawake tunajiongopea sana kuhusu hawa wanzungu kwanza ukiwa nao inahitaji uwe mvumilivu sana tena utakopwa usiku kucha na wiki mnzima then huyooo anajikataa anakuachia email tuu kweli kabisa smile hujakosea then akitudi tena yuko na rafiki yako na atakupita kama hakujuhi vile mapenzi ya kizungu ni noma man.
hongereni kwa ujasilimia mali huo nitakuchek kuhusu vitumbua me ni mpenzi wa vitumbua sana
 
karibu sana mamito ....ule vitumbua wazungu kitu gani?
 
Raha tunapata wote afu mwisho unataka nikupe hela...weeee nani kasema...tutaendelea kukopa...mpaka vibabu vizungu vimekuwa vijanja
 
ni vizuri wanawake wajikite kwenye ujasilimali kuliko kutegemea njia za mkazo, maana hazisadii.
 
Wenyewe waaita kuuza mpini.

Mabinti wa DSM wanaliwa uroda na vibabu vya kizungu ambavyo hata ulaya vinakataliwa kwa kunuka shombo. Noti kitu kingine kabisa, vijana wa kiume masela nao wanajivinjari na vibibi vya kizungu.
Mange wa U-turn website ndo anafanya kazi wa ku-promote udumavu wa akili kwa wanawake wawindaji wa vibabu vya kizungu. Perception mbaya sana kwa baadhi ya wadada wa kitanzania kuamini ya kuwa hakuna mafanikio bila kuzini na ngozi nyeupe za ulaya. Wanaishia kufanyiwa michezo michafu ambayo ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
 
tatizo wadada wa kitz mkiona wazungu wanawataka basi mnaona mshatoka, atakupa visa ukaishi nae nje au atakujengea salon kukununulia gari, kuna ambao wako hivyo lakini wengi ni matapeli wanawachezea alafu nduki
 
Hapa Mange wa u turn muke ya muzungu anahusika sana hapa.....
 
Mpaka sasa mtoa mada hajatofautisha vitumbua vya mchele vinavyo-expire siku 2 (vya mchele) na hivyo vya
Burundi visivyooza hongereni kwa semina mm naomba mniPM ni shabiki wa pochi manyoya na kitumbua
 
very interesting story vtumbua gan lakin ivyo vya export?
helo my dearests...
basi bwana nilikuwa kwenye kikundi tulikuwa na semina ya kujifunza ujasiriamali maledies mjini hapa...
si mnajua maisha magumu mishahara yenyewe kidogo wanaume wenyewe wakutuboost hakuna kitu.. zaidi ndo wanatukopa maana shida kwao zimewajaa kama nini ..loh tuyaache..
basi tukawa tunajifunza kupika vitumbua.nk
basi ikaja session ya kutoa ushuhuda watu jinsi gani wamestrugle kutoka na ikawa vipi hatima yake..
loh kuna hawa maledies kama sita hivi..wakaanza kushuhudia jinsi wamepiga ujasiriamali hadi ule wa kipochi manyonya a.k.a kipochi cha utamu ...
sasa wao wakadai waliinvest kwa wazungu wakitegemea kuwa mamrs whites...
but hawakuambulia chochote zaidi ya kukopwa na kuachiwa email adress eti ...eheheeee sina mbavu mie
nimeamini wazungu noma..hata no za simu hawatoi ni email adress tu ..wadada wanalalamika kila siku kwenda internet cafe kuchungulia kama ka ujumbe kametumwa teh hola hola...
basi tupo nao tunapika vitumbua vipo advanced tunasupply somalia rwanda &burundi...
 
very interesting story vtumbugan lakin ivyo vya export?
hujaonaga mkuu mbona kuna chapati za azamu hadi congo? hadi nyanya ...biashara ni chochote sio lazima uuze magari
 
so hvi vitumbua ni chapati tayar kwa kupasha na kula au ni tayar kwa kula kama vile vya tandale kwetu?
 
Back
Top Bottom