Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,756
- 6,785
Tuko pamojaTumekuelewa mkuu.
ndioYohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa sababu ya kuingilia mapenzi ya watu?
Kabisa, Mapenzi sio ya kuingilia waache watu wamalizane wao kwa wao matatizo yao.Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa sababu ya kuingilia mapenzi ya watu?
Hakukatwa kichwa kwa kuingilia mapenzi ya watu isipokuwa mbele ya mapenzi ya wawili Yohana akiwa wa watatu mwenye mpenzi aliambiwa kama unanipenda naomba kichwa cha Yohana mbatizaji kije hapa. Jamaa hakuwa na hiana akaenda kukikataYohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa sababu ya kuingilia mapenzi ya watu?
herode alioa mke wa ndugu yake so yohana akamchna kuw kazingua ,Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa sababu ya kuingilia mapenzi ya watu?
KukosoaKuingilia ni kufanyaje
Asante kwa kunifungua macho.Hakukatwa kichwa kwa kuingilia mapenzi ya watu isipokuwa mbele ya mapenzi ya wawili Yohana akiwa wa watatu mwenye mpenzi aliambiwa kama unanipenda naomba kichwa cha Yohana mbatizaji kije hapa. Jamaa hakuwa na hiana akaenda kukikata
We jamaa!na PUNYETO ni kuingilia mapenzi ya watu?