Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,964
- 4,052
Ni uongo tu tunatamaniana kukidhi haja zetu tu baada ya hapo kila mmoja anaanza ku act
24Ebu nijuze umri wako tafadhali nijue sehemu ya kuanzia kukushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile nakuelewa [emoji33]Ni uongo tu tunatamaniana kukidhi haja zetu tu baada ya hapo kila mmoja anaanza ku act
Ndo ukweli huo mkuu cheki YouTube kuna mzee anaitwa Abraham twersky ametafsiri vizuri Sana maana ya mapenzi
Unauliza nguo za pink kwenye kabati la mdada ?
HayaLengo langu anipe penzi lake hata siku moja maana nimemvumilia muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye miaka 30 jela ya nini?
Hilo ni jina na wala si uhalisia
Ww mzushi sana wwmkuu akikubali kumla utamlia wap!? maana ww si upo kwa anko wako!? Alafu huna kitu cha kuanza kujitegemea. hahaaaa
My hoe is your crush. She is your girl but another niggas bitch. ucseme cjakwambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu ntaifatilia hiyoNdo ukweli huo mkuu cheki YouTube kuna mzee anaitwa Abraham twersky ametafsiri vizuri Sana maana ya mapenzi
Mkuu mnataka kinisababisha nimulie hata kichakani ili nimfaidiUnauliza nguo za pink kwenye kabati la mdada ?
Of course yes kama sio bikra kuna muhun kakuzidi kete
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo wakati mi nafaa kuitwa babaKuna mtu atasema wewe ni mvulana.
Hio ni juu yako ila rudisha hadhi ya kiume maana mpaka sasa ushakuwa boya