jaman kila cku maisha yanabadilika upendo wa dhati umepungua watu wanatumia uongo kuliko ukweli kiukweli mapenzi ya uongo yanaumiza tena sana tujalibu kubadilika na haya maisha yanayo wapeleka watu waumizane
Mapenzi ya uongo si mapenzi lakini uongo ndani ya mapenzi yakweli hauepukiki! Kwa vile dunia yetu ya siku hizi ina mambo mengi basi huu uongo lazima utakuwa mwingi.