Mapenzi ya siku hizi

TANGAZO:
Nasikitika kukuambia ya kwamba utafiti wako ulioufanya ni batili na wala majibu yake hayana uhusiano wa moja kwa moja na hali halisi.
 

Mapenzi ya zamani unayajua?,kifupi hakuna jambo jipya duniani,kucheat hakujakithiri miaka ya hivi karibuni.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
ni kweli kabisa na habari zilizonifikia hivi pumbe kutoka Mpwapwa Dodoma zinasema kwamba kuna mwalimu wa shule ya msingi amefumaniwa na mke wa mtu na kuuwawa majira ya jana jioni saa 11 katika kijiji cha Kisima kata ya Mtera.kwa mujibu wa mleta habari hii ni kuwa mwl alikua akimgharamikia mke wa mtu matumizi mbalimbali kutokana na mwenye mke kushindwa kumudu hali ngumu ya maisha.
 
Nafikiri wanataka ku experience the difference, kupata uzoefu wa vitu vipya ambavyo havifanyiki kwa mume/ mke wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…