Prophet Muhammad.A Muslim must not hate his wife; and if he be displeased with one bad quality in her, then let him be pleased with another that is good.
Hapo naona kuna ukweli mtupu.Kua kwanza
Hapo naona kuna ukweli mtupu.
WanaJF habari!!
Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta
Kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake.
Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke.
Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(CHEATING) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.
utafiti usio rasmi,ndio utafiti gani huo?wanajf habari!! Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake. Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke. Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(cheating) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! Mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.
Nawe una cheat?
Nami nasubiria jibu la swali hili
Nami nasubiria jibu la swali nililo kuuliza..!
Hata mimi sijui labda shetani anaweza kuwa na maelezo mazuri.ila title haiendani na content
utafiti usio rasmi,ndio utafiti gani huo?
Nimekosa ushauri baada ya kugundua ni utafiti usio rasmi kwani ni wa mazingira zaidi.
Kua kwanza
utafiti wako usio rasmi unaniweka mimi kwenye kundi gani?no sampling, no schooled research as of udom, udsm, mu, oxford, harvard, etc and so on and so on. Jitahidi kutulia, usiwe muathirika wa elimu za kikoloni
......................................................................................................................, kwa yeyote anekubaliana nami naomba tu-share mawazo
Du kweli bongo kuna tabu, hv ni kweli hatupendi kusoma eehh wabongo?!
Hujaombwa ushauri, rudia kusoma post!!
POLE!!