B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Wengine tuna kuza Mental strength kila leo 


Nilogee MAN CITYNakukatia(nakutongoza) unanikataa naenda kwa mganga nakuloga unakufa! Nakuja kwa mazishi yako naona unavyozikwa nacheeka!!!!! ( naimba tuu)
Nafsi iliyoumizwa hutafuta nafasi ya kulipiza kisasi.Ni kweli kabisa nawakishapata maumivu mioyo hubadilika kabisa na kuamua kudanga au kupiga na kusepa haya maisha bhana![]()
Duuh...Kisicho na kisasi ni nyeto tu, happy life happy end.
Wa JF washasoma..!!Mimi mwenyewe natafuta wakulipiza soon tu....
Ahamie kwa Klop....Kibaya zaidi unakuta jamaa ni shabiki wa arsenal anakuja kugundua anachapiwa
Ahamie kwa Klop....
#YNWA
Amen..Yote hayo nikwakui tumemuweka MUUMBA kando na mahusiano na maisha yetu kwa ujumla