Hahaha hahaha hahahaMkuu unataka ufaidi mwenyewe? Acha kuwa mbinafsi!
Acha hizoo wewe hiyo sio sababu,ikiwa wewe ndio tabia yako basi utahukumu woote kutokana na ukionachoBrother na sister mfano wew uko dar na mpenzi wako iko mkoani ...siku ukisikia anakwambia eti Leo najihisi kuchokachoka nitalala mapema.. juwa usiku huo atakuwa machinjioni ...
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHahaha hahaha hahaha
Na wewe unataka ufaidipo eeeh
Mkuuu ile kitu siyo ya kucheyaMkuu unataka ufaidi mwenyewe? Acha kuwa mbinafsi!
Hata sumu ingekuwa ya mtu mmoja isingetengenezwa nyingi hivo.Ule peke ako kwani sumu hiyo?
Ili Wakati Unakula Ukapaliwa Ndugu Yako Atakusaidia Kukupiga Mgongoni Chakula Kishuke Vizuri Kooni. Kwasasa Wivu Hauna Nafasi (Zero Tolerance)ππππΊπ»π₯π―Kizuri kula na nduguyo.
Africa Mashariki Tumewapa Nafasi Burundi RwandaUle peke ako kwani sumu hiyo?
Si ndio hapo sasa!Ule peke ako kwani sumu hiyo?
Wivu ni ujinga.Ili Wakati Unakula Ukapaliwa Ndugu Yako Atakusaidia Kukupiga Mgongoni Chakula Kishuke Vizuri Kooni. Kwasasa Wivu Hauna Nafasi (Zero Tolerance)[emoji1][emoji38][emoji23][emoji448][emoji447][emoji1623][emoji397]