Mapenzi ya namna hii ndio fasheni?

Mapenzi ya namna hii ndio fasheni?

Upendo wa kweli hupimwa pale Umbo lake linapofifia na ile Mijihips uliyompendea mwanzo inapokwisha Ukimuacha kwa sababu lile tako refu ulilomkuta nalo akiwa Kigoli mbichi limekwisha HUKUMPENDA YEYE, ULIPENDA TAKO ZAIDI
ST weww utavumilia?
 
STUNTER rudishs Avatar yako unajua tumeizoea imekua kam brand yako kwenye hizi topic,unazipatia kweli kweli mkuu,una talent ya kuzungumzia ma lovee
 
STUNTER rudishs Avatar yako unajua tumeizoea imekua kam brand yako kwenye hizi topic,unazipatia kweli kweli mkuu,una talent ya kuzungumzia ma lovee
Hata hiyo pia yangu mkuu, ila naheshimu michango na mawazo yenu, wacha niirudishe
 
Back
Top Bottom