Mapenzi ya mbali yananichanganya!

Papizo mi mwanaume. Nashukuru kwa ushauri
 
Piga chini huyo brother hakuna mapenzi hapo, dizaini huko kuna mjanja kampenda!
 
aya maskin pole we!mapenzi hayatabiri.nenda kwa kushtukiza utajua kama n hisia zako au kweli kashapata muhsani.

loh! Nikikuta kitu na box ntafanyaje? Naogopa kuitwa mwizi jamani! Aafu najijua nna hasira sana na mtu anayenizingua ko ntasababisha kesi kwa wakati huo.
 
Wewe una hisi ana mwanaume mwingine??

Usipuuzie hizo hisia zako maana zaweza kuwa sahihi..!! Zifanyie kazi na uwe tayari kukubaliana na ukweli..!!

Ina raha gani kujipa moyo wakati mazingira yenyewe ni tata?? Bora ujue ukweli uumie baadae utapoa kuliko haya mateso ya kila siku unayoyapata maana yanaumiza sana..!!
 
Muibukie hukohuko bila taarifa then ukweli wote utaujuwa, again hakuna ki2 muhimu kama muda hata kwenye mapenzi hivyo usipende m2 akupotezee muda wako. Wee nenda ukiona longolongo piga chini mzigo anza maisha mapya kwa kuanza upya si ujinga.
 
kweli aisee, unajua mtu ambaye ulishafunga ukurasa ni tofauti na unayemfukuzia. Huku najiribu kuwa makini ili nisijeamua kujichomeka kwa mtu yeyote kupunguza maumivu.

....kwa hii post yako huwezi nishawishi kwamba umefunga kurasa.. Ndo kwanza upo ktk table of contents..na unahitaji komaa zaidi.. So endelea shirikisha watu utafanikiwa... Mapenzi yalikua ZAMANI tu.
 
Muibukie hukohuko bila taarifa then ukweli wote utaujuwa, again hakuna ki2 muhimu kama muda hata kwenye mapenzi hivyo usipende m2 akupotezee muda wako. Wee nenda ukiona longolongo piga chini mzigo anza maisha mapya kwa kuanza upya si ujinga.

asante kwa ushauri. Unajua kila mtu ana weakness zake anazozifahamu. Ndugu yangu mi ni mtu mwenye hasira za papo kwa papo. Huwa siwezi kuvumilia mtu kunizingua kwa kitu kilicho wazi. Wakati mwingine mtu akiniudhi huwa naondoka na kwenda sehemu naliaa weeee aafu hasira inaniishia. Sasa imagine unakutana na mwanaume mwenzio kwa mwanamke ambaye anakuzingua si unaweza kusababisha kesi?
 
mke mwema siku zote anatoka kwa Mungu, muda uliokaa naye in relation ni mrefu sana just go to God pray for her am sure she will change no matter what.
 
loh! Nikikuta kitu na box ntafanyaje? Naogopa kuitwa mwizi jamani! Aafu najijua nna hasira sana na mtu anayenizingua ko ntasababisha kesi kwa wakati huo.

nenda kwa kunyatanata!aaaah nakutania usijaribu kwenda mwenyewe wanazimiaga wenzio waulize wahanga kwanza.
 
Mfuate huko aliko ndo utapata majibu ya maswali yako na utajua nn ufanye!!!
 
hakuna kitu nisichokipenda kama mtu kutopokea simu au kutojibu sms.mm kwangu hiyo ni disqualification.i hate that habit
 
Pole sana ndugu. Fanya uchunguz uujue ukweli, ikiwezekana kama huwa mnataratibu za kutembeleana nenda.

Ukiujua ukweli utakuweka huru. All the best rafiki.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana ndugu. Fanya uchunguz uujue ukweli, ikiwezekana kama huwa mnataratibu za kutembeleana nenda.

Ukiujua ukweli utakuweka huru. All the best rafiki.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nashukuru kwa ushauri mkuu. Nitaanza kwenda na haya mambo taratibu ili nijue ukweli.
 
...ukiona manyoya?...akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu...
 
vumilia utaacha wangapi, nasikia wanasemaga hivyo hebu jaribu na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…