hapo siyo mapenzi ya mbali ,hapo nimapenzi hakuna mkuu...........kwisha habari yako wewe songa na maisha.Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami ila navumilia na sijawahi kumcheat. Lakini kuna tabia imejitokeza kama miezi mitatu hivi simuelewi kwa kweli.
Nikipiga simu muda mwingine hapokei wala hata kunitumia msg kwamba yuko busy hakuna, natuma msg hajibu. Kuna wakati akipokea maongezi yake hata nnavyoongea na dada yangu aliyenizidi miaka 25 huwa nafurahia kwani huwa tunataniana. Majibu yake ni mkato na ukimwambia i love you anakujibu, ok! Hii ni tofauti na mwanzo. Nimezoea kila asubuhi na mapema kumsabahi na kumtakia kazi njema lakini siku hizi anapokea cm na kuniambia ana usingizi hata kama ni muda ambao mfanyakazi anatakiwa aamke. Kuna siku ndo kabisa sauti ilikuwa kama kuna breakfast inaendelea, loh!
Nilikata simu na kwenda kufanya mambo yangu. Jana nimempigia simu akawa anaongea kiuoga nikamuuliza, are you at your home? Akakata simu na mpaka leo hapokei. Kuna wakati huwa ananambia simu ni mbovu lakini bado najiuliza mbo wakati mwingine unampigia na kuongea naye? Nifanyeje ndugu zangu? Yaani hata ibada yangu leo imekuwa sio kama kawaida.
mkuu umeshasema kuna jamaa anagonga huko ,hlf unamshauri ampotezee kwa muda tu?kweli tumetofautiana ,jamaa aibuke huko huko akajionee mwenyewe na kuongea naye tatizo ni nini ,akijua anamegwa na mpango mzima wa pembeni ni kutupa kureeeeeeee! wanawake wapo wengi sana ,tena wazuri ,wenye maadili na wanajitambua.Tofauti ya wanawake na wanaume,wanawake huwa wanakolea haraka tofauti na wanaume,mpotezee kwa muda usimpigie wala sms,kunajamaa anagonga huko
Mkuu unaua kabisaaaaaaaaa! kama umemuona vile,ebu mpe mwenzio matumaini,siunajua kuna yale mambo ya wanawake mda mwengine mtu anakua kama chizi au sio?Tofauti ya wanawake na wanaume,wanawake huwa wanakolea haraka tofauti na wanaume,mpotezee kwa muda usimpigie wala sms,kunajamaa anagonga huko
hapo siyo mapenzi ya mbali ,hapo nimapenzi hakuna mkuu...........kwisha habari yako wewe songa na maisha.
hlf huyo mpenzi wako yupo wapi mpaka unakaa mwaka mzima hamjaonana?
chezea utamu wa dushulele weye....Hauishi mwezi nasafiri kutoka mwanzo hadi mwisho wa nchi kumfata baby asakuta same....Kweli mapenzi ni zidi ya breakdown!!!
Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami ila navumilia na sijawahi kumcheat. Lakini kuna tabia imejitokeza kama miezi mitatu hivi simuelewi kwa kweli.