Mapenzi ya mara kwa mara na kupata mtoto wa kike - Je ni kweli?

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Kufanya mapenzi sana kwa mwanaume kunampelekea kuzaa watoto wa kike kwa urahisi zaidi kuliko yule hasiyefanya mara kwa mara?
 
Mara nyingi nimesikia mwanaume anapopata mtoto wa kike anataniwa kuwa ni kwa sababu ya 'ukicheche' wake.

Hata hivyo, sioni basis ya kisayansi inayoweza kusupport hiyo nadharia. Jinsia ni suala la X and Y chromosomes zilizopo kwenye manii ya mwanaume (na hali halisi ya uke!). Sasa kama mwanaume anafanya mapenzi sana, sioni ni vipi anaweza kubadilisha hiyo composition ya manii au ability/potential ya hizo chromosomes kufertilize yai.
 
Si kweli.

Shida ya mtu wa hivyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwa

maana kwamba anaweza ashindwe kumtundika mwanamke

mimb kabisa, lakini ya kuzaa watoto wa kike tupu, ni ya

kimichapo zaidi!
 
Kuna ka logic furani ingawa si proven beyond reasonable doubt. Ka logic kenyewe ni hivi;

Mnapotiana na hadi mbegu kutoka, kawaida mbegu za kiume hutoka faster zaidi na mara nyingi zinatangulia. Hata hivyo mbegu hizi hufa mapema.

Kwa upande mwingine mbegu za kike hupanda pole pole ila zinaishi muda mrefu zaidi.

Kwa hiyo ikiwa mnatunguana wakati yai linapokuwa karibu kabisa (au mwanamke anapokuwa kwenye peak ya ovulation), kuna uwezekano mkubwa mtoto wa kiume kuzaliwa, kwani mbegu za kiume zitalifikia yai mapema zaidi na uwezekano wa mtoto wa kiume ni mkubwa (ila si 100%).

Vile vile kama mbegu zimeingia wakati yai bado liko mbali (mbegu ndani ya uke huweza kuishi kwa masaa 72) yai linaposhuka kuna uwezekano mkubwa wa female child kwa kuwa hadi hapo zile za kiume nyingi huwa zimeshakufa. Halafu vile vile wakati huo advantage ya kuwahi haipo hivyo zote zina equal chances, ila za kike zaidi kwa sababu zinaishi muda mrefu zaidi.

Sasa mwanaume unapofanya mara kwa mara, unakuta ile presha ya kusukuma mbegu inakuwa imepungua. Kutokana na kupungua kwa msukumo ile advantage ya mbegu za kiume kuwahi inakuwa cancelled out hivyo kunakuwa na nafasi sawa ya watoto (labda 50/50).

Lakini vile vile kutoa mbegu mara kwa mara wakati mwingine husababisha mbegu zitoke kabla ya kukomaa sawa sawa. Hivyo kama unatia ovyo ovyo au kila siku si vizuri ikiwa unataka mtoto, kwani mbegu huhitaji muda wa kukomaa.

Kuongeza chances za kupata mtoto wa kiume (siyo asilimia 100) ni kusubiri siku ile mwanamke anapokuwa peak. Siku hiyo wanawake wengi hujisikia kuteleza na huitamani sana uume uwaingie. Ukiweza kuvizia siku hiyo na ukawa umekaa kama siku tatu bila kutoa shahawa, unaongeza chances za kupata wa kiume (ingawa si 100%).

Hayo nadhani yanaweza kukusaidia.
 
Last edited by a moderator:

Pia unapofanya mapenzi mara kwa mara unapunguza kiasi cha shahawa unachotoa kila unapofika kileleni kitu kinachoweza kukupunguzia nafasi ya wewe kupata mtoto,ila pia kama maelezo ya hapo juu ni sawa basi utapunguza nafasi ya kupata mtoto wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mwanaume unapofanya mara kwa mara, unakuta ile presha ya kusukuma mbegu inakuwa imepungua. Kutokana na kupungua kwa msukumo ile advantage ya mbegu za kiume kuwahi inakuwa cancelled out hivyo kunakuwa na nafasi sawa ya watoto (labda 50/50)

Hapa sijakupata vizuri! Mbegu baada ya kutoka si zinakwenda zenyewe (kwenye yai!) bila kusukumwa?
 
Ni kweli kuwa mbegu baada ya kutoka hupanda zenyewe. Lakini vile vile kuna mazingira yanazisaidia kwenda kiurahisi zaidi. Ikiwa **** ina ule utando laini, ujue mbegu hupanda kirahisi zaidi kuelekea kwenye yai.

Vile vile wakati wa ngono zinapotolewa husukumwa na nguvu ya ndani (prostate gland help in this). Ikiwa nguvu ya kuzisukuma ni kubwa (zinaruka kutoka ndani ya uume kutokana na msukumo) basi ujue zinawahi kufikia destination kwa urahisi zaidi.

Ikiwa zinadondoka tu bila nguvu bado zitapanda kulifikia yai lakini msukumo hurahisisha zaidi.

Nadhani hii inaeleweka
 
practice makes perfect shingo......sio kweli kwamba unapofanya sana basi manii zinapungua nguvu na kuwa ndogo....hell noo....unapofanya sana ngono mashie ya kutengeneza manii nayo inakuwa faster na ku produce vitu vya uhakika....

.....pia hii ya kwamba mbegu za kume zinakuwa na chembe chembe za mtoto wa kike au kume sijakupata kuna jamaa hapa alitoa dar'sa la kupata jike au dume.....alll in all napenda majike maana madume wengi mafisadi...
 
kuna ka logic furani ingawa si proven beyond reasonable doubt. Ka logic kenyewe ni hivi;

mnapotiana na hadi mbegu kutoka, kawaida mbegu za kiume hutoka faster zaidi na mara nyingi zinatangulia. Hata hivyo mbegu hizi hufa mapema.

Kwa upande mwingine mbegu za kike hupanda pole pole ila zinaishi muda mrefu zaidi.

Kwa hiyo ikiwa mnatunguana wakati yai linapokuwa karibu kabisa (au mwanamke anapokuwa kwenye peak ya ovulation), kuna uwezekano mkubwa mtoto wa kiume kuzaliwa, kwani mbegu za kiume zitalifikia yai mapema zaidi na uwezekano wa mtoto wa kiume ni mkubwa (ila si 100%).

Vile vile kama mbegu zimeingia wakati yai bado liko mbali (mbegu ndani ya uke huweza kuishi kwa masaa 72) yai linaposhuka kuna uwezekano mkubwa wa female child kwa kuwa hadi hapo zile za kiume nyingi huwa zimeshakufa. Halafu vile vile wakati huo advantage ya kuwahi haipo hivyo zote zina equal chances, ila za kike zaidi kwa sababu zinaishi muda mrefu zaidi.

sasa mwanaume unapofanya mara kwa mara, unakuta ile presha ya kusukuma mbegu inakuwa imepungua. Kutokana na kupungua kwa msukumo ile advantage ya mbegu za kiume kuwahi inakuwa cancelled out hivyo kunakuwa na nafasi sawa ya watoto (labda 50/50).

lakini vile vile kutoa mbegu mara kwa mara wakati mwingine husababisha mbegu zitoke kabla ya kukomaa sawa sawa. Hivyo kama unatia ovyo ovyo au kila siku si vizuri ikiwa unataka mtoto, kwani mbegu huhitaji muda wa kukomaa.

Kuongeza chances za kupata mtoto wa kiume (siyo asilimia 100) ni kusubiri siku ile mwanamke anapokuwa peak. Siku hiyo wanawake wengi hujisikia kuteleza na huitamani sana mboo iwaingie. Ukiweza kuvizia siku hiyo na ukawa umekaa kama siku tatu bila kutoa shahawa, unaongeza chances za kupata wa kiume (ingawa si 100%).

Hayo nadhani yanaweza kukusaidia.

yote sahihi kisayansi isipokuwa hapo kwenye msisitizo (highlighted)
 
practice makes perfect shingo......sio kweli kwamba unapofanya sana basi manii zinapungua nguvu na kuwa ndogo....hell noo....unapofanya sana ngono mashie ya kutengeneza manii nayo inakuwa faster na ku produce vitu vya uhakika....

.....pia hii ya kwamba mbegu za kume zinakuwa na chembe chembe za mtoto wa kike au kume sijakupata kuna jamaa hapa alitoa dar'sa la kupata jike au dume.....alll in all napenda majike maana madume wengi mafisadi...

Eeeh, ni kweli kuwa practice make perfect. Ni kweli vile vile kuwa mashine ya kutengeneza manii (mapumbu) hufanya kazi faster zaidi mahitaji yanapokuwa makubwa.

Kufanya mara kwa mara ni kweli vile vile hupunguza nguvu ya msukumo. Ukweli kuna sababu nyingi sana zinazochangia msukumo kuwa mkubwa au mdogo. Hatuna nafasi ya kuchambua sababu zote.

Ila hili la msukumo kupungua kama unafanya sana linajadilika. Unaweza ukatest. Ukikaa siku tatu hadi tano, halafu upelekeshe mashambulizi zinakuwa na nguvu sana. Lakini kama jana zilitoka na juzi, leo ukitoa zinashuka tuu ingawa kuna sababu nyingine zinazoweza kuathiri. Lakini ukiweza kufanya mambo mengine yakawa sawa, basi ushahidi unathibitisha kuwa nguvu ya msukumo hupungua.

Practising inaweza kusaidi kiuno na mapafu kuwa na stamina zaidi. Lakini si uume na uwezo wa kusukuma mbegu.

Au fikiria hili. Kufanya mazoezi unaweza kujenga misuli na kuongeza mass ya misuli. Kufanya sana ngono hakusaidii kuongeza ukubwa wa uume wala nguvu yake. Hilo unaweza thibitisha mwenyewe.
 
Ni kweli vile vile kuwa kwenye manii zinakuwemo mbegu za kiume na kike kwa viwango vilivyo karibu sawa.
 
Kuliweka kitaalam zaidi ni kuwa kwenye sperms kuna zenye X chromosomes na zenye Y chromosomes. Zile zenye X ndo wenyewe wanaita za kike kwani zikiungana na yai hutoa mtoto wa kike (XX).

Zile zenye Y zikiungana na yai hutoa mtoto wa kiume (XY).

Yai lina X peke yake.
 
Back
Top Bottom