Mapenzi ya mahandsome

Kwanza wanawake kiwango cha kujitambua kipo chini saaana mfano mwanamke anawaza ndoa kwamtu ambae haendan nandoa hata kidogo(hanamalengo) anapambania ndoa kwamwanaume ambae anahudumia nywele sawa tu na yey kuanzia gharama had materials af unakuwa nandoto zakuolewa UMEVULUGWA NN!!! unaiwaza ndoa kwa mwanaume ambae anamiliki IPhone 5 majins ya supreme 9 Gucci 6 all-star converse pair 5 kofia za dope4 Chen za fasach 4 SAA za silver 4 heren pair kibao anakilaaina ya vipodoz kwakazi ya kunyoa saluni au kuingiza nyimbo libraly ila anaishi geto kwamashkaji hana hata kakuku tu alikofuga kuzugia unawaza atakuoa SURELY TUSIPOSEMA UMEVULUGWA BHASI TUNAKUOGOPA yaaan unategemea ndoa kwamwanaume ambae kilasiku anakugonganishia magari utazan movie za Jackie chan
All in all CHAMSINGI NIKUWAOMBEA MPONE TU BHAS COZ UU NI UGONJWA SUGU OFCOZ
 
Pole sana mkuu
 
huyu kaleta thread tena kuwapondea mariooooo
 
Unasema kweli ila ndugu yangu uwezi kuoa tuh from no where lazima umpende mtu wee huwezi chukua sura mbaya upeleke wap xaxa c ndani hakutakalika
 
Sio ubinafsi ukitaka kuwekwa kwenye malist kuwa na handsome ukiwa na mwanaume wako wa sura ya mbuzi halafu mweusi walaa hakuna wa kumsogelea

Kwani na wewe ni handsome mshipa wake dada

Mbona mimi siyo handsome, sura ya mbuzi, pesa ya kawaida lakini mnanisumbua huku mtaani?...tatizo huwezi jua mnataka nini
 
Ulishadate na wangapi mpaka ukaja na mlolongo huo wa sifa zao

Naamini wakishakupitia sana

Mpaka nakuonea huruma
 
Pole sana DADA yangu utapata mwanaume wa kukuona ila sasa siku nyingine na ww usipende kuchagua chagua sana
 
Sister usimpangie mtu pa kupenda ila ni vizuri kumshauri juu ya kwake kupenda. Halafu mbona unatoa jibu la ujumla kwamba ma' handsome hawajielewi?! Wengine hawapo hivyo.
 
mbona povu vepeeeeee ahahahahaha hasa wewe unachagua handsome wa nini.....
 



nimetabasamu the whole post, kweli kauzee kanaingia dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…