Wadau wa JF hapa kwenye isidingo ya mapenzi napenda kuwauliza eti mapenzi ya kweli ni yepi ? Utayajuaje ? Utayapima vipi ? Na kama haitoshi utayaanzisha vipi ?
N.B. Je wale wanaojiua kama wapo kwa ajili ya kumkosa au kukataliwa na anaempenda je hawa watakuwa wana mapenzi ya kweli ? :frusty:
Je wale wanaopigania mpenzi wana mapenzi yakweli kwa wanaempigania ?
Vipi kuhusu wivu ,unatokana na kupenda kwa dhati ?
Kulia pengine umpendae anaodoka kwa safari kikazi au kusoma ? Inaweza kuwa geresha tu ?:busu