Mapenzi ya kweli yapo


Sure mkuu, ni wachache watakuelewa 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mapenzi bwana yanakufanya hata duniani unajiona wewe na yeye tu, wakati mwingine unatamani wengine wooote wasombwe na Idd Amin wakamwagwe
Lake Victoria [emoji1][emoji1]mbaki only two mkienjoy

U made my day kama ndo ninachokiwaza natamani watu wote wasombwe na maji tubakie sisi wawili tu duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
U made my day kama ndo ninachokiwaza natamani watu wote wasombwe na maji tubakie sisi wawili tu duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
🙌🙌🙌😂😂
That special feeling! That’s love
 
Ushaomba hela Shilingi ngapi kutoka kwake? Kumbuka Kuna kuachana usijiaminishe
 
isee kweli hii ndo 2020 anyway ngoja tuone mwaka utaishaje maana huu mwaka mrefu balaa!!

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
U made my day kama ndo ninachokiwaza natamani watu wote wasombwe na maji tubakie sisi wawili tu duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hongera, ila naomba nikushauri kitu, ukitaka kujua kama kweli huyo mwanaume ulie nae sahiv anakupenda kweli, bhasi ww muombe hela kila baada ya siku mbili, Leo muombe tsh10,000..kesho kutwa muombe tsh 7000, wiki inayofuata muombe tsh elf 40,000..na akihitaji papuchi kabla ya ndoa, usimpe papuchi..

Ikipita miaka miwili na kila mara anakupa pesa unayoihitaji, bhas olewa nae quenliiz
 

Kuhusu kumuomba ela ananipa Vizuri tu bila hata ya kumuomba
Hayo ya papuchi sasa ni kutesana umpe usimpe kama ndoa ipo ipo tu



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushaomba hela Shilingi ngapi kutoka kwake? Kumbuka Kuna kuachana usijiaminishe

Ela simuombi ila Akiona Nina uhitaji anatoa vizawadi ndo usiseme.

V wangu sijui alikuwa wapi siku zote naangaika na mabazazi [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Quenliiz, MUNGU awatangulie kwenye mahusiano yako na mwenzi wako. Jambo la msingi usisikilize maneno ya watu nje ya mahusiano yako, mawasiliano ni kitu cha muhimu sana kujiheshimu na kumheshimu mpenzi wako ni muhimu, mfanye huyo mpenzi wao kuwa best friend wako uta enjoy zaidi .
Uwazi na uaminifu hata kwa jambo dogo ni nguzo muhimu kwa msingi imara wa penzi lenu kufikia malengo yenu.

Pia msisahau kumtanguliza MUNGU kwenye kila mnalopanga kufanya kwa mstakabali wa maisha yenu.
Kwa maana kuna watu mara nyingi hawapendi kuona watu wakiwa kwenye mahusiano bora kama yenu sasa.

Nakutakia kila la Heri.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume waaminifu wapo wengi na wenye kujitambua, na wanawake waaminifu pia wapo wengi na wenye kujitambua.
Swala hapo ni unasimamaje ili umpate wako sahihi wa maisha....! Ni neema ya MUNGU tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…