Mapenzi ya kweli yapo

Woooow!!πŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ§šπŸ»β€β™€οΈπŸ§šπŸ»β€β™€οΈMake the most of it, tembeleeni kote kunakofikika,kuleni vinavyolika
Itaneni majina yote matamu, dekeshaneni
Furahia kila wakati muwapo pamoja
 

Asante Mkuu sijui jina gani sijamuita huyu mwanaume πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈanyway Mungu anajua, waswahil husema kama ipo ipo inshallah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Enjoy love
Is a beautiful thing
Asante Mkuu sijui jina gani sijamuita huyu mwanaume πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈanyway Mungu anajua, waswahil husema kama ipo ipo inshallah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mapenzi bwana yanakufanya hata duniani unajiona wewe na yeye tu, wakati mwingine unatamani wengine wooote wasombwe na Idd Amin wakamwagwe
Lake Victoria πŸ˜„πŸ˜„mbaki only two mkienjoy
 

Mapenzi matamu, mapenzi raha hukufanya dunia usikie inanukia harufu taaaamu ya kuvutia, kila chakula huwa na ladha ya kipekee, huhisi ndege waimbapo wanakuimbia wewe tu, na dunia huwa na rangi za kuvutia za taswira zisizoonekana kwa macho, ooh tukizungumzia the air we breath feels like always you down by the lakeshore! Daah that feeling!
Acheni mapenzi yaitwe mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…