Mapenzi ya kweli yapo

quenliiz

Senior Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
102
Reaction score
141
Heshima kwenu wakuu

Nisiwachoshe sana ila mimi nimeshindwa kuvumilia baada ya kutokuwa na serious relationship kwa muda kama mwaka mmoja hatimaye Mungu kanipa mwanaume wa ndoto zangu.

Yes wa ndoto zangu, kama utani vile nshanasa ananipenda,nampenda raha Anazonipa sikuwahi kuhisi kama kuna watu duniani wanainjoy mapenzi hivi

#Kama upo humu V wangu wewe ndiye mume wangu mtarajiwa.
niamini Nakupenda
Namaanisha
 
Mkuu,tumuache kidogo

Mpe nafasi ya kufurahia wakati uliopo

quenliiz kila la heri...Mwenyezi Mungu akujaalie furaha yako idumu

Hakuna nyakati za kunisuprize kwenye mapenzi, ups and downs zote nazijua
Na siyo kama mm ni mgeni wa mapenzi

Kwa hiyo niacheni kidgo nifurahie hali ya sasa lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna nyakati za kunisuprize kwenye mapenzi, ups and downs zote nazijua
Na siyo kama mm ni mgeni wa mapenzi

Kwa hiyo niacheni kidgo nifurahie hali ya sasa lol


Sent from my iPhone using JamiiForums

That's what i was saying...labda kama hukuelewa

Enjoy​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…