Mapenzi ya kweli haya hapa.

Hawa ndo akipatikana...sehemu zote zilizowazi hufanya kazi,
 
Hii iko kiskuli zaidi, nadhani ni wanafunzi wa chuo hao. wote mnapata boom sawa lakini mwanaume anatwishwa zigo la nnya.
 
chips kuku nini bana. ingine iko nafanya mutu ingine ****. utasikia baby nininulie starlet. bri ngapi hiyo?
 
akili ya kitoto hiyo aka show off akikua ataacha,,, mzalishe kamoja tuuu then yataisha hahahhah
 
Hivi hadi siku za leo wanaume wanaingizwa mjini kwa style hizo!!
Mkuu webondo,
Nyinyi si mlimaliza! wacha na sisi tuone utamu wake,maana there is no love without giving!na mkono mtupu haulambwi!
Halafu mimi nikimpta wa hivyo naona raha maana hamna any other commitment,chips kuku -10,000,vocha 5elfu mengineyo 15,000.Total 30,000 baada ya hapo stress level=0:sleepy:
 
Du hiyo kali sasa........ ila na weye dume zimaaa unafanya uliyoambiwa? kwani huoni hapo kama unaibiwa? au huoni kama unaliwa na kuchunwa? kazi kwenu kina kaka unaopenda malovedove!
 
Mkuu webondo,
Nyinyi si mlimaliza! wacha na sisi tuone utamu wake,maana there is no love without giving!na mkono mtupu haulambwi!
Halafu mimi nikimpta wa hivyo naona raha maana hamna any other commitment,chips kuku -10,000,vocha 5elfu mengineyo 15,000.Total 30,000 baada ya hapo stress level=0:sleepy:
Duh! Haya bhana!
 
Aisee kwangu mimi hakuna kitu nachukia kama kuchunwa, yaani hapo nisingemjibu na uhusiano wetu ungeishia hapo. Akawafate mapedeshee huko mjini asinizoee.
Unaweza kukuta licha ya kumuhonga kote bado yuko hivi 72391_115239295201970_100001476998687_107276_3492487_n.jpg
 
chpsi moja value chupa kubwa maji kubwa, hela ya saloon buku 5 hao rafiki zako nikifika ni kama maji na kilima fasta wasepe na mi kuondoka ni majaliwa kumaliza tundu zote saba si leo. chezea mkware wewe
 
Back
Top Bottom