ndoa ndoano.Haya watu heshimuni sheria za boda boda!Mishkaki hairuhusiwi!
thread zile zile kila siku...
wavumilie mkuu watajirekebisha tu usihof.........................thread zile zile kila siku...
halaf haya masuali yake hayako katika mpangilio kabisa yaani. anauliza masuali kama anaiuliza GOOGLE bana! aulize masuali kijitu kizima bana! (nimekasirika kweli wakati naandika hii post)thread zile zile kila siku...
halaf haya masuali yake hayako katika mpangilio kabisa yaani. anauliza masuali kama anaiuliza GOOGLE bana! aulize masuali kijitu kizima bana! (nimekasirika kweli wakati naandika hii post)