Habarini za jioni wana jamvi
Story ipo hivi...
Ni binti wa miaka 20+ amesoma kamaliza shahada ...hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi kabla kwa kuhofia mambo mengi ikiwemo kuyumba kimasomo. Baada ya kumaliza tu akiwa nyumbani kwao kuna kijana walikua wanafahamiana kipindi cha nyuma ambae kwa sasa haishi karibu na yeye alipo walianza kuwasiliana kwa sababu kadhaa tu za kawaida ila baada ya muda mawasiliano yakaanza kua deep kiasi kwamba binti akaanza kumuelewa kijana ingawa hawajaonana muda mrefu sana...ikaenda wakawa wapenzi wa mapenzi ya mbali, mambo yakawa yanaenda tu vizuri ila baada ya muda kijana kaanza kupunguza mawasiliano kwa binti mbaya zaidi binti kapagawa haoni haelewi saiv na mawasiliano yalivopungua yupo kama chizi...
Utamshauri nini mtu kama huyu?