Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,980 May 25, 2016 #61 Kaboom said: Mkuu hongera..Miaka saba kuna watu wameshadate watu zaidi ya 50..Endeleeni kuwa waaminifu hivyohivyo..Mbarikiwe sana Click to expand... Miaka saba ukitafuta uwiano kila mwaka mmoja madem 7 hivi... Daah!!! Mbona kidogo hao 50. Mwaka nzma madem 7!! Unacheza mkuu.
Kaboom said: Mkuu hongera..Miaka saba kuna watu wameshadate watu zaidi ya 50..Endeleeni kuwa waaminifu hivyohivyo..Mbarikiwe sana Click to expand... Miaka saba ukitafuta uwiano kila mwaka mmoja madem 7 hivi... Daah!!! Mbona kidogo hao 50. Mwaka nzma madem 7!! Unacheza mkuu.
R Rohore Senior Member Joined Aug 22, 2015 Posts 101 Reaction score 38 May 25, 2016 #62 U chumba au wa penzi??? Wewe huko ulipo pia kwani utapotea wapi sister angu au masela uduma humu????
sanji Member Joined Jul 28, 2015 Posts 54 Reaction score 20 May 27, 2016 #63 du!!!!!! miaka7 yote nyie kweli mazuzu
NAHINGA JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 1,019 Reaction score 338 May 27, 2016 #64 huyo hana feeling na ww mkuu achana naye
motonkafu JF-Expert Member Joined Dec 2, 2015 Posts 1,019 Reaction score 710 May 27, 2016 #65 Seeenzi wenzio tunatongoza siku tatu mzigo, tukikosa tunasepa sio unang'ang'ania miaka saba unafikiri hatiwi tweheheheeeee
Seeenzi wenzio tunatongoza siku tatu mzigo, tukikosa tunasepa sio unang'ang'ania miaka saba unafikiri hatiwi tweheheheeeee
Ummesh JF-Expert Member Joined Dec 20, 2015 Posts 2,077 Reaction score 1,144 May 27, 2016 #66 Oa mkuu!
mgangawaukoo JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 2,183 Reaction score 2,394 May 27, 2016 #67 Miaka7, mimi nilijuwa mazombi yapo kwenye muv tu! Kumbe mpaka humu yapo! Wee ndoa tu hamna namna huyo kakuona wewe ni zaidi ya zombi yaani lizombiiiiiiiiiiiii
Miaka7, mimi nilijuwa mazombi yapo kwenye muv tu! Kumbe mpaka humu yapo! Wee ndoa tu hamna namna huyo kakuona wewe ni zaidi ya zombi yaani lizombiiiiiiiiiiiii
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,306 Reaction score 3,906 May 27, 2016 #68 Itakuwa una matatizo ya kitovu kukuangukia ukiwa mdogo....khaaa...miaka saba unakuja kupata stimu sa hv
Itakuwa una matatizo ya kitovu kukuangukia ukiwa mdogo....khaaa...miaka saba unakuja kupata stimu sa hv
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,798 May 27, 2016 #69 Embu nipite maana nitatoa tusi yaan una mda wa kupoteza miaka 7 kwa mahusiano? Mnachimba mgodi gani?
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 May 27, 2016 #70 Kupotezeana muda tu. Miaka 7 si katoto kakubwa kabisa.