Mapenzi ya kimashaka

W

Wanaume wa dar wapoje mkuu ??
hawana Mda wakuremba mtihani wa kusubiri walipata ZERO, wakiona huelekei wanakuacha wasije kukosa fursa kwengine
wewe wanakuweka kiporo kama utakua nabahati,au wana kuvalishe pete na kwenu wanajitambulisha wakisha kupata
wanakuanzia drama.......
 
Anatafuta Life experience wapo wanafikisha mpaka miaka 10na iyo saba wala si ya kumsakama sana,
Tupe sifa za wanaume wa Dar maana ukute wengi hatuwajui wamezaliwaje
Hajasakamwa,ila kwa yeye anatupa utata jee nimchamungu sana jibu no sababau asinge taka msaada kama muowaji,sasa inatupa changamoto nyengine mpya ku deal na tatizo lake ............ndio mana maswali mengi wala usifikirie vyengine ni kwa nia safi tuu ....
 
hawana Mda wakuremba mtihani wa kusubiri walipata ZERO, wakiona huelekei wanakuacha wasije kukosa fursa kwengine
wewe wanakuweka kiporo kama utakua nabahati,au wana kuvalishe pete na kwenu wanajitambulisha wakisha kupata
wanakuanzia drama.......
Kumbe wanaume wa dar siyo bora niwe na wamkoani ni waaminifu sana
 
Miaka saba? Dah, hiyo miaka saba mnakuwa mkifanya nini?

Ni kitu kizuri kujitunza, lakini muwe na mutual understanding.
 
hahahahahahaaaa... wa dar hawezi subiri 7yrs sio!!! hahaaaa
 

Huyo siyo mpenzi ni dadako tu
 
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰Una Miaka Mingapi Mkuu...........πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Maana sasa inaleta shida kidogo, Miaka 7 si mchezo😡😡😡😡
 
Kwa miaka saba daaaa,! Itabid uingie kwenye kitabu watu waliovunja rekodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…