The greater man
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 237
- 190
Miaka7 hamjachunguliana! Mko mbalimbali?
Wanaume wa dar wapoje mkuu ??Naomba nikuulize,ivi hiyo miaka 7 na wewe kwanini hutaki kuoa? au unataka upewe ukimbie?
OA jamani usiziniiiii kama mambo bado basi wewe zidi kusubiri na kama umeweza kusubiri miaka 7 <kama kweli>
basi unaweza kusubiri hata miaka 10.... halafu wewe utakua sio mwanamme wa DAR...
Kumbe hivi vitu vinawezekana aisee..Miaka7 hamjachunguliana! Mko mbalimbali?
miaka saba ni ujuha mkuu, imezidi sana mwezi tu, alaa!Kumbe hivi vitu vinawezekana aisee..
Hahahahahaaaaaa mbavu zanguMkuu hongera..Miaka saba kuna watu wameshadate watu zaidi ya 50..Endeleeni kuwa waaminifu hivyohivyo..Mbarikiwe sana
Kutakuwa na mgawanyo wa majukumu nadhani..Wenzake watakuwa wanamsaidia kumvua demu wakemiaka saba ni ujuha mkuu, imezidi sana mwezi tu, alaa!
Ukumbuke kinga tuata mimi nashangaa.......last weeek nimekutana na mmoja kimasihara nikaomba namba jana na leo tume meet kesho nakula tunda....life is so simple
Kabisa....Kumbe hivi vitu vinawezekana aisee..
pengine demu wake ndo yule niliyemla w'end hii, anafanya vizuri sanaKutakuwa na mgawanyo wa majukumu nadhani..Wenzake watakuwa wanamsaidia kumvua demu wake
Mpendwa na ww usitoe kabla ya ndoa..Ni dhambiKabisa....
Teh teh..Unamtia stress kijanapengine demu wake ndo yule niliyemla w'end hii, anafanya vizuri sana
Hata mimi natamani niujue umri wakeUmri wako?
Anatafuta Life experience wapo wanafikisha mpaka miaka 10na iyo saba wala si ya kumsakama sana,Naomba nikuulize,ivi hiyo miaka 7 na wewe kwanini hutaki kuoa? au unataka upewe ukimbie?
OA jamani usiziniiiii kama mambo bado basi wewe zidi kusubiri na kama umeweza kusubiri miaka 7 <kama kweli>
basi unaweza kusubiri hata miaka 10.... halafu wewe utakua sio mwanamme wa DAR...