[h=6]Mwanamke katuma sms ifuatayo kwa mpenzi wake. >Mpenzi kama umelala nitumie ndoto zako,kama unacheka nitumie tabasamu lako,kama unalia nitumie machozi yako....NAKUPENDA SANA<
Mpenzi wake akamjibu
>Niko chooni kwa haja kubwa....nikutumie nini?<
[/h]