Mapenzi ya katoto kashenzi mimi

Mapenzi ya katoto kashenzi mimi

Ai..mzee machachari sana wewe hujijuagi

😅😅😅nauona mtongozo kwa mbali unakuja wallah..😆😆
"Kama mwanamke unaongea nae vizuri, humtukani, humfokei kwanini akukatae?"

Hayo sio maneno yangu bali ni mjomba wangu flani ambaye ni mkali wa hizi kazi 😂😂😂!

Huwa nayatafakari sana naishiaga kucheka tu. Yana maana kubwa sana hata kwetu mi nawewe sweetie!😍
 
"Katoto kashenzi"...😂😂😂😂
 
😂😂😂endelea kutafakari maneno ya mjomba kwa kina hakuna namna.
 
Katoto kashenzi😂😂😂 itakuwa jina linasadifu tabia yako.
 
Back
Top Bottom