Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

Status
Not open for further replies.

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
hay! vjana wa jf,
najua mungu anatupenda na kutulinda
namshukuru kwa hilo.
juzi kati nimetokewa kupendwa na msichana humu jf, lakini yaliyonikuta ni makubwa.
coz alikua ananitumia picha nzuri sana nikajua nimepata mrembo, lakini yeye yupo dar na mm mbeya, bac bwana nikafunga safari mpaka dar, nikafika mida ya saa nne ucku, nikakuta mrembo kakodi hotel nikabanjuka kijana, nikanyoosha goti.
lakini jamani binti mwenyewe alikua tofauti na picha alizokua akinitumia.
kiranga changu nikamwambia mbona c yy coz ule urembo niliokua niiuona co. alikua anatisha coz wembamba ulikua umezidi, kiukweli nilimOgopa. nilipo ondoka nikawa nimekata mawacliano.
c ndio nikaanza kupokea msg za matuc kutoka kwake, amenitukana sana eti nilikua nataka kumchezea.
lakini haikua nia yangu coz alikua akinidanganya ata katika picha. ambazo c zake,
nilikua napenda kina dada muwe wakweli.
mcweke pic ambazo c zenu.
 
hay! vjana wa jf,
najua mungu anatupenda na kutulinda
namshukuru kwa hilo.
juzi kati nimetokewa kupendwa na msichana humu jf, lakini yaliyonikuta ni makubwa.
coz alikua ananitumia picha nzuri sana nikajua nimepata mrembo

kaandike vizuri vitu vinavyoeleweka
 

Endelea kuedit mpaka ikamilike.
 
Masikini nakuonea huruma pole sana...
 
yeah nilikumbuka mpira na kilicho nifanya nikumbuke ni hali niliyomkuta nayo ila nilipanga nikunjue goti kavu kavu, urembo wake ukunipagawisha. ila nilipo kuta c yy ndio nilipagawa zaidi
 

ndio ujue online flirting sio nzuri kijana..
 
nilijikunjua 2. c unajua alikua ameisha ghalamika nikashindWa kumkimbia
 
huyu pozzyfaza nae mkali.
Demu kampa picha si za kwake,
kukutana nae, "anatisha" -sijui kakonda...!
Afu anaendelea hatua nyingine anam"gegeda"
Afua ndo anaanza kulalamika.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…