Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
[emoji3][emoji3] mnapangwa mpaka apatikane mshindi,Sikuhizi hakuna mapenzi bali ni hisia za mapenzi tu.
Watu tunapangwa pangwa tu kulingana na ujasiri wa mtu husika.
Mambo mrembo..[emoji3][emoji3] mnapangwa mpaka apatikane mshindi,
Poa, Mambo.?Mambo mrembo..
Mambo furesh kabisa.. weekend yako leo unatuama wapi mamii..?Poa, Mambo.?
Naenda zangu madhabahuni kutubu dadii,Mambo furesh kabisa.. weekend yako leo unatuama wapi mamii..?
That great.. Mungu akuzidishie baraka na akusamehe dhambi zako bila kusahau akuzidishie kaurembo amaizing..😉Naenda zangu madhabahuni kutubu dadii,
Amen Amen, ntakuombea nawe....Ahsante kwa mwaliko wa kishujaa🏃♀️That great.. Mungu akuzidishie baraka na akusamehe dhambi zako bila kusahau akuzidishie kaurembo amaizing..😉
Mi weekend leo nipo skani nakunywa juisi kola na bagia pembeni na chai.. njoo tujumuike mrembo..
Okay.. lkn mbali na yote nimekuelewa haswa!.. ukarimu wako na maneno yako matamu yamenivutia!, nafikiri bwana analakuteta nasi.. ni kama vile nalipatia picha umbile lako lilifinyangwa na fundi stadi ambae si tu alikujaali,Bali alikupa na kukujaza vile ambavyo ni Siri yakwako nami nitaka niitambue siri hiyo!.. wasemaje mrembo..?😉Amen Amen, ntakuombea nawe....Ahsante kwa mwaliko wa kishujaa🏃♀️
Mapenzi ya go and retain no kabisa
Ila wewe, una vimaneno kama muimba ngonjera ujue...😄😄Usitake nigombane na mdogo wangu Saint AnneOkay.. lkn mbali na yote nimekuelewa haswa!.. ukarimu wako na maneno yako matamu yamenivutia!, nafikiri bwana analakuteta nasi.. ni kama vile nalipatia picha umbile lako lilifinyangwa na fundi stadi ambae si tu alikujaali,Bali alikupa na kukujaza vile ambavyo ni Siri yakwako nami nitaka niitambue siri hiyo!.. wasemaje mrembo..?😉
🏃🏃Ila wewe, una vimaneno kama muimba ngonjera ujue...😄😄Usitake nigombane na mdogo wangu Saint Anne
Nakuona mkali wa Tenzi za Hubani 🤣🤣🤣Okay.. lkn mbali na yote nimekuelewa haswa!.. ukarimu wako na maneno yako matamu yamenivutia!, nafikiri bwana analakuteta nasi.. ni kama vile nalipatia picha umbile lako lilifinyangwa na fundi stadi ambae si tu alikujaali,Bali alikupa na kukujaza vile ambavyo ni Siri yakwako nami nitaka niitambue siri hiyo!.. wasemaje mrembo..?😉
Hakuna tenzi hapo wewe kumbe hata tenzi huzijui..Nakuona mkali wa nzi huzijui za Hubani 🤣🤣🤣