Mapenzi ya dhati!

Hao wakiwa kwenye 6x6 wanakuwa na urefu unaolingana.
 
Koba yuko wapi, naskiaga eti hizi ndio staili za mademu wa makaratasi..
Nways, napendaga women on high boots, lakini sio kaa hili jidubwana kiukweli.
 
Mapenzi hayana urefu wala unene the matter is true love
 
Nadhani huyu atakuwa mbeba box; kajitoa muhanga kumuoa huyu great Khalii ili apate uraia
 
dah teh teh teeeh asee huyu jamaa
amepata kazi nzito hapo
hiyo ni hatari kweli kweli yani
atajuta akiwa mzee....
​
 
kwenye 6x6 watu wafupi kama huyo jamaa huwa wanakuaga wadogo kama TENESI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…