Mapenzi ya dhati

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Wanawake wa siku hizi wamekuwa maji moto saana

Kuna demu tulikuwa naye kwenye mausiiano 2017 mpaka 2019 demu aka niacha solemba kabisa niliumia sana nilibembeleza mtoto wa kike mtoto wa kike aka nipotezea kabisa
Akawa ananiringia na mwanaume wake jamaa mmoja hivi ni handsome boy na kizuri zaidi jamaa alikuwa na salooni yake pamoja na biashara vyake vingine Yaani jamaa alikuwa na yotoli kidogo ( pesa kidogo)
Na mshukuru rafiki yangu alinishauri kuwa achana naye uyo demu ipo siku ata kuja kukumbuka
Ililuwa ngumu kumsau ila namshukuru Mungu nilimpotezea kabisa nilivyo mpotezea hilibidi ni safari kabisa ni siwe na muona kabisa
Sasa nilivyo rudi kijijini jana ile katika kupita pita zangu nika sikia vurugo na mimi nika kimbilia kule kufika hivi
Nikakuta ni demu na yule jamaa wanagombana kumbe walikuwa wamesha oana kabisa
Sasa demu pale akawa ana wambia watu kuwa eti jamaa ana siku 5 halali ndani na haki yake ya ndoa hapati jamaa akawa ana mtukana pale eti hawezi kulala na mwanamke mchafu ambaye hajui ata kufanya usafi wa mwili wake niliumia saana baada ya kuona anavyo tukanwa demu ila nilikuwa sina cha kufanya ni mambo ya ndoa hayo

Sasa leo nilivyo kuwa natoka zangu home naenda kijiweni nika kutana na mtoto kweli
Aka nisimamisha pale akawa anauliza eti siku hizi nilikuwa sionekani nikamwambia nilikuwa nimesafiri
Nikamuliza vipi umesha olewa? mtoto akawa ana sitasita kunijibu mwishowe akajibu ndio niliuliza ivo kwa makusudi sio eti nilikuwa sijui kama amesha olewa
Mwishowe demu akaniomba namba zangu za simu ki ukweli nilikataa kumpa nilimwambia kuwa mimi sina simu sasa hivi simu ninayo tumia ni yarafiki yangu akaniomba hivo hivo nikampa

Sasa ninacho taka kusema ni hiki dada zangu
Akuna mwanaume mbaya mbele ya mwanamke ampendae tatizo lenu ninyi muna jichagulia wanaume muwapendao na hasa ukiwa mrembo una tamani kumpata mwanaume mzuri kama wewe au mweupe kama wewe
Wengine siku hizi utasikia wanasema mimi na mpenda mwanaume mweusi wengine mweupe wengine mfupi au mrefu mwengine Yaani ni shida kiufupi tu mwanamke achagui mwanaume wa kuishi naye bali mwanaume ana chagua mwanamke wa kuishi naye

Mwanaume hawezi kuoa mwanamke ambaye anamtamani bali mwanamke ndiye anayetamani kuolewa na mwanaume ambaye anayemtamani
Madhara yake yanakuwa hayo kutukanwa kuachwa na mengine mengi mabaya
Mwanaume yupo tayari kuomba msamaha kwa mwanamke ampendaye
Na hata akiwa ana chepuka kivipi lakini hatomsau mwanamke ampendae

Kila mwanaume ana mwanamke ampendae wengine wanaoa wanawake wanao watamani kwakulazimishwa na mwanamke au wazazi wengine marafiki lakini moyoni mwake hatakuwa ajarizia
Na kila mwanamke ana mwanaume ampendae tatizo ni kwenu tu ambao mumefanya mwili wenu kuwa fremu ya biashara
 
Kabla ya kutafuta pesa akajifunze kuandika kwanza, hakuna mwanamke atakubali kuishi na mwanaume mwenye uandishi wa hivyo

Mmmmmmm what do you mean
If you didn’t get me what I wrote pass away I don’t call you here
 
Back
Top Bottom