tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Pamoja na kwamba ziko namna na mbinu kadha wa kadha za kuanzisha mahusiano, lakini uzoefu unaonesha kwamba mapenzi ya dhati hujengwa kwa kuanza na urafiki then mapenzi ya dhati hufuata baada ya hapo.Tabia ya kutongoza moja kwa moja mara ya kwanza tu kuonana, utaishia kupata vicheche tu, Ladies wanaojitambua utawasikia tu!
Nawasilisha kwa kuungwa mkono na kupingwa pia
Ni hayo tu
Karibuni
Nawasilisha kwa kuungwa mkono na kupingwa pia
Ni hayo tu
Karibuni