Mapenzi ya Chuoni kizungumkuti...

Mapenzi ya Chuoni kizungumkuti...

Habari wana Jf,

Kwa experience yagnu mahusiano mengi ya wale ambao ni wanachuo huishia baada ya ku graduate. Mahusiano hayo hayana future na ni wachache mno ambao hudumu. Labda iwe mahusiano hayo yawe ni ya mtu ambae ni mtu wa nje ya chuo na si mwanafunzi mwenzie.

Nyie mnaona kuna ukweli wowote hapo?
Ahsante kwa experience yako. IMO hakuna ukweli.
Ninachofahamu kuna wengi tu walikuwa classmates na wakawa wapenzi na wakaishia kuoana hata baada ya campus life.
Vile vile kuna walioishia kuoa KCC wao.
Hakuna formula kwenye mapenzi
 
Back
Top Bottom