Mapenzi ya Chuoni kizungumkuti...

Mapenzi ya Chuoni kizungumkuti...

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
Habari wana Jf,

Kwa experience yagnu mahusiano mengi ya wale ambao ni wanachuo huishia baada ya ku graduate. Mahusiano hayo hayana future na ni wachache mno ambao hudumu. Labda iwe mahusiano hayo yawe ni ya mtu ambae ni mtu wa nje ya chuo na si mwanafunzi mwenzie.

Nyie mnaona kuna ukweli wowote hapo?
 
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.
 
habar wana jf, kwa experience yang mahusiano meng ya wanachuo huishia after graduation.na huwa hamna future wachache mno wanaodumu.labda awe anadate na mtu wa nje ci mwanafunz mwenzie.kuna ukwel hapo?

Kwenye red umeonyesha xperience yao huko vyuoni basi huenda ikawa kweli!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.

mungu ni mwenye nguvu na akubariki
 
watu chuo wapo kimgegedo zaidi bwana...how do expect a 21 yr old to know wat love is while he cant even control his sexual urges.
wacha wagegedane kwa raha zao
 
Inategemea uhusiano wenu mmeujenga kwa mising gani..kama watu wanaheshimiana na kupendana na kuweka malengo huenda wakaoana

Tatizo ni kwa mind mentality zetu wengi wetu tumejenga negative atitude kama uliyonayowewe

Ila kama wewe unampenzi wako na mnamalengo usikate tamaa yote yanawezekana

Usiogope kabisaa...anaweza kuwa mkeo or mmeo pia

Ila watu wengi baada ya kuhitimu chuo hutengana kwa sababu hizi

Kuishi au kupata kazi sehemu tofauti/mikoa tofauti

Wasichana wengi wanapataga tamaa ya kuolewa na watu walioshajipanga so kama ndo umehitim then huna kazi wala pesa hapo weng wanakimbiwa

Namengineyo
 
watu chuo wapo kimgegedo zaidi bwana...how do expect a 21 yr old to know wat love is while he cant even control his sexual urges.
wacha wagegedane kwa raha zao

Hili tatizo naona ni la vidume wengi kuanzia vijana mpaka wazee ndo maana hatuishi kwenda kwa smal haus na kuwa na mitandao ya kufa mtu.
 
Hongera kwa kujipatia kwenye nyumba ya mungu ila waenda disco wote sio wahuni acha ushamba bana
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Wote unakuta wanaanzisha safari ambayo hawajui wanaenda wapi .sasa watawezaje kujua wap wapite vp waish wakati katika kukaa kwao wanawaza starehe ngono hakuna hata nukta moja wanayoshauriana mazuri na kupanga maisha yao.
 
Wangu nimepata Chuo, tumekula raha pamoja, tukasota pamoja na sasa we are blessed with three beautiful kids. Inategemea Kama uliwekeza kwenye love me love you au kwa life partner
 
Mapenzi ya vijana na vibinti vingi vya chuo si life-oriented ni mgegedo-oriented kwa kuondoa stress za assignment, homeworks na mitihani. Na ndio maana kama umefanya uchunguzi pia, mapenzi yanakuwa ya Quanta, mapenzi full mkiwa chuoni kwenye semester ila likizo mapenzi hupungua hata mawasiliano pia.
 
Habari wana Jf,

Kwa experience yagnu mahusiano mengi ya wale ambao ni wanachuo huishia baada ya ku graduate. Mahusiano hayo hayana future na ni wachache mno ambao hudumu. Labda iwe mahusiano hayo yawe ni ya mtu ambae ni mtu wa nje ya chuo na si mwanafunzi mwenzie.

Nyie mnaona kuna ukweli wowote hapo?

wapo waliofanikiwa, ila ni wachache. Lakini inaonekana kuwa wengi wanaokuwa chuo hujiingiza kwenye suala la mapenzi si kwa kupenda, bali kuiga au kukabiliana na changamoto za chuo/shule kwa wakati huo. Mapenzi ya namna hii mara nyingi huwa ni ya msimu na si ya kudumu.
 
WATU MNAPENDA CHEAP ANSWERS.
majibu ni haya.
KWANZA ANGALIA HUU UKWELI.
wanafunzi wanapoanza 1st year wengi wao wanakuwa tayari walishachagua wapenzi wa kuwaoa ama kuolewa nao.WASICHANA wanakuwaga na boyfrend waliowatangulia kimasomo ama tayari wapo kazini.
WAVULANA wanakuwa na wasichana wao madarasa ya chini A-level na hata O-level.
UKWELI.
watu wengi wakati wanaingia chuoni tayari wana chaguo lao.
KINACHOTOKEA
chuo kikishaanza baada ya kama miezi miwili mitatu karibia wasichana wote wanakuwa wamepata NEW BOYFRIENDS yaweza kuwa same 1st yr ama wa miaka ya mbele.
Kinachofanyika hapa ni usaliti kwa kila mtu,msichana anamsaliti mchumba wake aliye chuo tofauti ama kazini,mvulana anasaliti mpenzi wake aliyesekondari.Kumbuka hawa wote kila mtu anafikiria tofauti kuhusu mpenzi chaguo lake na kinachofanyika ni kujaribu kuficha ukweli kwa waliowachagua.ILI UMUOE msichana wa chuo lazima uvunje ile strong relation ya awali na vinginevyo mtafanya tu mapenzi kama hitaji lakini mvulana anae wa kuoa na msichana anae wake.
KITU KINGINE
msichana unaekutana nae chuoni ni ngumu kumwamini ghafla na wengi huwa wana wasi wasi na mahusiano yaliyokuwepo kabla ya wao kukutana na ukweli huu unawafanya wengi kuelea kuamini kuna mahusino mengine huko nyuma kabla ya chuo na pengine sasa
 
WATU MNAPENDA CHEAP ANSWERS.
majibu ni haya.
KWANZA ANGALIA HUU UKWELI.
wanafunzi wanapoanza 1st year wengi wao wanakuwa tayari walishachagua wapenzi wa kuwaoa ama kuolewa nao.WASICHANA wanakuwaga na boyfrend waliowatangulia kimasomo ama tayari wapo kazini.
WAVULANA wanakuwa na wasichana wao madarasa ya chini A-level na hata O-level.
UKWELI.
watu wengi wakati wanaingia chuoni tayari wana chaguo lao.
KINACHOTOKEA
chuo kikishaanza baada ya kama miezi miwili mitatu karibia wasichana wote wanakuwa wamepata NEW BOYFRIENDS yaweza kuwa same 1st yr ama wa miaka ya mbele.
Kinachofanyika hapa ni usaliti kwa kila mtu,msichana anamsaliti mchumba wake aliye chuo tofauti ama kazini,mvulana anasaliti mpenzi wake aliyesekondari.Kumbuka hawa wote kila mtu anafikiria tofauti kuhusu mpenzi chaguo lake na kinachofanyika ni kujaribu kuficha ukweli kwa waliowachagua.ILI UMUOE msichana wa chuo lazima uvunje ile strong relation ya awali na vinginevyo mtafanya tu mapenzi kama hitaji lakini mvulana anae wa kuoa na msichana anae wake

Umepita mule mule aisee
 
Tatizo mnatanguliza ngono mbele badala ya kumtanguliza Mungu.Mimi niliyemuoa nilimpata chuo ni kwa sababu tulikuwa serious na Mungu alikuwa kati yetu.Pia sikuokota mtu wa disco bali nilipata anaemjua Mungu.Tatizo wadada wengi wanapenda kushobokea masharobaro wanasahau baada ya kumaliza chuo maisha huanza upya.Uliyekuwa unamuona hana fedha ndiyo anakuwa nazo mara baada ya kupata kazi nzuri.

we mjinga kweli eti hukuokota mtu disco, ulimuokota kanisani😕
 
Back
Top Bottom