Mapenzi ya babu yangu jirani miaka ya 2005

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
wanajf babu yangu jirani yeye na mkewe walikua na watoto14.Tangu nakua miaka ya1992 Babu na bibi hawalali kitanda kimoja,sijawahi sikia wamegombana ila najiuliza hadi leo japo babu kafariki,na kumuuliza bibi naogopa,unaweza ukadhani nini mana hata kwenu labda wapo:scared:
 
mi hata sijakusoma unataka nini toka kwetu...hata tukisema wapo utafaidika nini
 
Chumba cha Wazazi kuwa na vitanda viwili ni kawaida , Na sio kwamba kuna ugomvi

NDIO MAANA ZAMANI HABARI YA MWAKA MIMBA MWAKA MTOTO HAIKUWEPO, Walipishanisha umri wa watoto vizuri

Na ndio yalivyo kua maisha yao. Ni USTARABU TU HUO
 
kuna wakati umri ukizidi sana kitu kinakata kwa wanaume na wanawake, hivyo mnajiona nyie kama kaka na dada tu...hahaha.
 
wanajf babu yangu jirani yeye na mkewe walikua na watoto14.Tangu nakua miaka ya1992 Babu na bibi hawalali kitanda kimoja,sijawahi sikia wamegombana ila najiuliza hadi leo japo babu kafariki,na kumuuliza bibi naogopa,unaweza ukadhani nini mana hata kwenu labda wapo:scared:
hueleweki? babu yako Jirani? yeye na Mkewe? then babu kafariki? huyo mkewe ulimaanisha ni bibi yako jirani? na huko kugombana wewe ndio ulikuwa unataka wagombane wakati hakuna cha kuwagombanisha ? na watagombanaje wakati babu kafariki? kama ni jirani zako ina maana huishi nao so huwezi jua kama walikuwa wanagombana au la!! hebu rekebisha kiswahili...

na maswali yako anayeweza kuyajibu ni bibi yako jirani pia utumie kiswahili fasaha unaonyesha hujui kijupanga katika kuuliza maswali
 
Back
Top Bottom