Mapenzi Vs usafi

Mapenzi Vs usafi

Suala la usafi muhim ht ham ya tunda hutamani kama hajiswafi
 
Naamini wasioupa usafi kipaumbele ni mabachela, hamna turn off kubwa kama mke ni mchafu....Fikiria baada ya kujifungua, kama mke si nadhifu waweza hama nyumba..
Naomba Mungu asinikutanishe na mtu mchafu..
 
kazi ya mke ni moja tuu, hayo mengne ni majukumu madogo madogo
 
Back
Top Bottom