Mapenzi utata

Mapenzi utata

Dah nashukuru Sana Kaka ,ngoja niweke strategic ya kuwakwepa aisee,Ila kunakitu nimekipata kwenye reply yako ,ntaifanyia kazi kwa watu wa mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa A level nilijizuia na walimu walikuwa wakidai "mkienda chuo mtawakuta wazuri zaidi" kumbe ilikuwa ni janja ya kutupush mbele uko tutajuana na ulimwengu. Sasa chuo wapo, sema gharama kubwa. Utahudumia afu ukose maslahi yako, sasa wewe unafanya ujasiriamali afu unatia huruma kisa mademu wa chuo.Tafuta classic mmoja au idadi utakayomudu nje, usijulikane una hela sana wala usionekane maskini. Ukipata wa kukutuliza uko wachuo wanakuwa dada zako kabisa nakwambia. Mi napiga nao disc na harakati kibao lakini najizuia na kulinda hela zangu, na amani inatawala. Kwanza uko hostel au ghetto

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
We dgo ckiliza you can not choose a wife in a college life """" zingatia hii kwanza.
Then ,if you want to live long never ever ever trust women/ girls and finally never take them as a serious creature ,"""" chukua na hii alafu njoo hapa
,Unaonekana bdo kijana mdgo so hujapitia changamoto za wanawake bdo and especially hao University students ,akina sisi tulishapita huko kitambo Sana .kukusaidia tu jitahidi kusoma kwa bidii na kuendelea kutafta vijisenti vya kukusapoti ww tu ,coz mama na baba yako kijijini plus wadgo zko jicho lao n kwako so focus kwenye kilichokupeleka chuo .kumbuka pia kutokuuza mechi kirahisi kuna magonjwa and utaharibu future yako usipoangalia ,ww,!! Ohoo!! watafune tu na kuwaacha Kama walivyo usijitie kupenda we tamani tu over ,then pima afya nao kabla ya kuwachakata .
Zingatia hili .
Hon.sir Bavaria
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.

Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza. Wakati nakuja chuo namshukuru nilifanikiwa kumpenda mdada mmoja ambaye hakusita kuniambia ukweli kuwa ana mtu wake na wana ahadi za kuoana.

Nilimkazia akakataa kata kata, nikaona isiwe tabu nikampotezea, na nikaapa ngoja nitulizane tu.

Sasa haikupita muda nikaanzisha biashara ya mtaji kama wa 1.5 milioni hapa hapa chuoni, yule dada akaanza kujisogeza saana na kujenga hisia za mapenzi na mimi. Kwa kuwa kiukweli nilitokea kumpenda, na kwakuwa sisi wanaume wengi ni wadhaifu, ikawa ni ngumu kumkataa. Nikamkubalia ila nikawa nawaza huyu dada atakua kafata hela kwangu. La hasha! Siku zilivyozidi kwenda sijaona kabisa michakato wa kuniomba hela wala nini na amekua mteja wangu sana katika bidhaa ninazouza hapa chuoni.

Mapenzi yaliendelea yakanoga kiasi chake nikawa naenjoy sana. Punde si punde yule dada kaanza banwa na mtu wake hivyo kupelekea mapenzi kwangu yakapungua kabisa. Sasa hivi yapo katika hali ya sintofahamu. Upande wa pili sasa kumekuwa kuna wadada ambao ni marafiki zake kama wawili wamekua wakiniomba nianzishe nao mahusiano ya kimapenzi lakin inaniwia vigumu maana nawaza kuwa, kwanza ni marafiki na yule dada, na pili ni hofu ya kuchunwa pesa.

Ndugu zangu, niko njiapanda nichague mmoja wa marafiki wa yule dada ambaye ni mchumba wangu au niendelee kusikilizia maumivu ya joto la jiwe kwa huyu dada wa kwanza?[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseee yaan mmeanza mapenzi ameshakuwa mchumba! Endelea kusimama apo apo njia panda utakutana na mengi sana na mtaji utaishia apo
 
Together Kaka[emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru
Nikiwa A level nilijizuia na walimu walikuwa wakidai "mkienda chuo mtawakuta wazuri zaidi" kumbe ilikuwa ni janja ya kutupush mbele uko tutajuana na ulimwengu. Sasa chuo wapo, sema gharama kubwa. Utahudumia afu ukose maslahi yako, sasa wewe unafanya ujasiriamali afu unatia huruma kisa mademu wa chuo.Tafuta classic mmoja au idadi utakayomudu nje, usijulikane una hela sana wala usionekane maskini. Ukipata wa kukutuliza uko wachuo wanakuwa dada zako kabisa nakwambia. Mi napiga nao disc na harakati kibao lakini najizuia na kulinda hela zangu, na amani inatawala. Kwanza uko hostel au ghetto

Sent from my PBCM30 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro,[emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru nilisahau kufikiria watu wanaonitegemeaa duh Kaka nashukuru,,,,,,,,saana
We dgo ckiliza you can not choose a wife in a college life """" zingatia hii kwanza.
Then ,if you want to live long never ever ever trust women/ girls and finally never take them as a serious creature ,"""" chukua na hii alafu njoo hapa
,Unaonekana bdo kijana mdgo so hujapitia changamoto za wanawake bdo and especially hao University students ,akina sisi tulishapita huko kitambo Sana .kukusaidia tu jitahidi kusoma kwa bidii na kuendelea kutafta vijisenti vya kukusapoti ww tu ,coz mama na baba yako kijijini plus wadgo zko jicho lao n kwako so focus kwenye kilichokupeleka chuo .kumbuka pia kutokuuza mechi kirahisi kuna magonjwa and utaharibu future yako usipoangalia ,ww,!! Ohoo!! watafune tu na kuwaacha Kama walivyo usijitie kupenda we tamani tu over ,then pima afya nao kabla ya kuwachakata .
Zingatia hili .
Hon.sir Bavaria
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.

Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza. Wakati nakuja chuo namshukuru nilifanikiwa kumpenda mdada mmoja ambaye hakusita kuniambia ukweli kuwa ana mtu wake na wana ahadi za kuoana.

Nilimkazia akakataa kata kata, nikaona isiwe tabu nikampotezea, na nikaapa ngoja nitulizane tu.

Sasa haikupita muda nikaanzisha biashara ya mtaji kama wa 1.5 milioni hapa hapa chuoni, yule dada akaanza kujisogeza saana na kujenga hisia za mapenzi na mimi. Kwa kuwa kiukweli nilitokea kumpenda, na kwakuwa sisi wanaume wengi ni wadhaifu, ikawa ni ngumu kumkataa. Nikamkubalia ila nikawa nawaza huyu dada atakua kafata hela kwangu. La hasha! Siku zilivyozidi kwenda sijaona kabisa michakato wa kuniomba hela wala nini na amekua mteja wangu sana katika bidhaa ninazouza hapa chuoni.

Mapenzi yaliendelea yakanoga kiasi chake nikawa naenjoy sana. Punde si punde yule dada kaanza banwa na mtu wake hivyo kupelekea mapenzi kwangu yakapungua kabisa. Sasa hivi yapo katika hali ya sintofahamu. Upande wa pili sasa kumekuwa kuna wadada ambao ni marafiki zake kama wawili wamekua wakiniomba nianzishe nao mahusiano ya kimapenzi lakin inaniwia vigumu maana nawaza kuwa, kwanza ni marafiki na yule dada, na pili ni hofu ya kuchunwa pesa.

Ndugu zangu, niko njiapanda nichague mmoja wa marafiki wa yule dada ambaye ni mchumba wangu au niendelee kusikilizia maumivu ya joto la jiwe kwa huyu dada wa kwanza?[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutojali endelea na huyo mrembo.
Hao wengine rafiki zake achana nao.

Ukifanya tamaa, utaumizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom