Mapenzi sio vita...

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,059
Reaction score
3,658
Mwanamke unapomfanyia visa mwanaume tambua ipo siku utajuta kwa uliyoyatenda, nimeamua kubreak up mahusiano baada ya kushindwa kuendelea na vituko alivyokuwa ananifanyia. Leo ndo ameniona wa thamani.


 
Tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
Umeachwa tena? Mbona mzeembe[emoji23][emoji23]
 
Lugha ngumu sana au sijui ndio kilometre zimezidi hata sielewi nahisi umri.
 
Kuandika kiswahili fasaha ni janga la taifa kwa sasa.
Yaani acha tu!! Unasoma kiswahili ila unahisi unasoma kilugha[emoji134][emoji134]
 
Reactions: amu
Hiyo sms au mwandiko wa daftari!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…