Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,106
Ifikie wakati wanaume tujitambue tusiendeshwe na mihemko ya wanawake . Mwanamke anataka ushinde juu ya kifua chake zaidi ya masaa matano kwani sisi ni PUNDA nauliza??
Kila mbuzi ale Kwa urefu wa kamba yake.Wanaume wanaruhusiwa kufanya mapenzi Kwa jinsi watakavyotaka wao.Kama ni goli Moja chalii Kisha pumzi inakata na unapitiwa na usingizi mzito Wala sio kasoro Bali ni kawaida furahia usikubali mwanamke akufanye PUNDA kitandani.
Mapenzi ni hisia na furaha .Kama unaweza kwenda zaidi ya goli Moja nenda Kwa hiari Yako ila usilazimishwe na Mwanamke Kwa kufuata mihemko yake.Usikubali kuchoshwa BIla sababu ya msingi.Cha msingii muandae vizuri kisha maliza haja zako Kwa furaha.Malizia na usingizi mzito.
##MAPENZI SIO KUCHOSHANA NI STAREHE.