Mapenzi=siasa

Mapenzi=siasa

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
wana mmu leo naomba tuthibitishe kauli kwamba "mapenzi ni sawa sawa na siasa"
 
Kazy ww ndie umesema hayo. tuthibitishie. mm mgeni mtaa huu.
 
somehow yanafanana mana kwenye mapenzi wa2 waongo sana kama kwenye siasa
 
mwana siiasa nakuwa na ahadi nyingi kabala hajashinda ila akishinda tu anasahau kula kitu the same applied to mapenzi akishapata anachotaka humuoni tena a.k.a caring zinapungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom