Uamuzi sahihi kabisa 🤝💯Mpaka leo nimeongea naye, nikampa tu ukweli kuwa hana mapenzi ya kweli kwangu ila anafosi tu kuwa na mimi.
Kuwa makini unabidi utafte pesa ujenge future yako na -- sikumpa Mwanamke hela
Mtatoboa lini vijana mkikaa kuendekeza wanawake ?!
Level gani?Levels
Kasema hivo baada ya kutumia pesa zake kwa uyo bidada nakuona kwamba hazijamsaidia kupata mapenzi yake ya kweli.Mtoa mada mbona unajikanyaga kanyaga mwenyewe kwenye Uzi wako?
So umesema mapenzi si pesa sasa mbona unamnunua Simu janja na mavazi?
Mwanzoni alifikiri kuwa vizawadizawadi vitafanywa apendwe mwisho wa siku akagundua sio kweliMtoa mada mbona unajikanyaga kanyaga mwenyewe kwenye Uzi wako?
So umesema mapenzi si pesa sasa mbona unamnunua Simu janja na mavazi?
Ukweli mchungu ni kwamba wanawake ndio wanafaidika sana na mapenzi kuliko wanaume.Kuna watu wanatudanganya kuwa mapenzi pesa lakini siyo kweli. Kuna mwanamke nipo naye kwenye mahusiano, nilimkuta hana simu kubwa nikamnunulia simu kubwa ili kuepusha matatizo ya salio kila siku. Pia nilimkuta hana mavazi mazuri nikatoa pesa zangu kumnunulia mavazi.
Lakini naona moyo wake kwangu haupo kabisa, najaribu kufosi kumpa vijizawadi lakini wapi. Kweli anasema ananipenda, lakini siyo ile mapenzi ya asili.
Nilichojifunza pesa siyo mapenzi. Mpaka leo nimeongea naye, nikampa tu ukweli kuwa hana mapenzi ya kweli kwangu ila anafosi tu kuwa na mimi. Kwahiyo basi nimemwambia tuachane, lakini tubaki kuwa marafiki ili nimpe uhuru wa kutafuta atakaye mfurahisha.