Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,004
- 10,406
Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
Umepatia....Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..

Utoto raha sana.Unafundisha umalaya hapa
Utoto upi dogoUtoto raha sana.
We haya.Utoto upi dogo
Badili pampasi kwanza![]()
Ndio natural occurrence tu mnaweza mkapendana na msiowaneila ndoa inatokana na mahusiano au hayo mnayoyaita mapenzi
Itaishia kumove on the rest of your life.....Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
Ila kweli nmewahi kumpenda mtu.100% nlikua tayar kumvumilia kilichofuata ni dissapointment mapenz kony..😅Itaishia kumove on the rest of your life.....
When it reach certain age u should know where to settle no matter how hard it will cost you
Inatokeaga tu unampnda mtu vby mno